Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Baada ya mama mdogo kurudi Toka Senta ,nikawakalisha na Baba mdogo ,nikawaambia kuhusu dawa niliyopewa na mama Monica,pia nikawaambia dawa hii sharti lake mama mdogo natakiwa nimpake Mimi,akijipaka mwewewe haitafanya Kazi,

Kwakuwa walikuwa wamechoka na kusulubiwa usiku,walikubali japo Kwa shingo upande,nikajisemea kimoyomoyo, Leo mamdogo hatimaye nakushika makalio Ili uache kiburi
Emma yeye aliwahi lamboni
Muda huo Giza lilikuwa limeanza kuingia

Itaendelea
 
So ajabu uwezi kusoma kitabu Cha story ila ya umughaka anaangaika kumlaumu Mbna vitambu viko vingi Sana vya story ,.
 
Yaani sahih San mm mwenyewe namshanga namuona jamaa analalamika as if kwamba Hana kitu kingine Cha kuperuzi sas namtaka UMUGHAKA piga Kaz zako Hadi utulie ndio uandike usiache Kaz zako uje uwafurahiishe watu hat kipande kilichobaki ukileta week ijayo nayo ni sawaa tu
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…