Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Acha tabia za kike
 
Naona sasa tunakaribia kujua mlichomfanya Mzee makono aka Lameki

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa ninavyoona hii story ikawa mwanzo wa story nyingine ya maisha baada ya kuwakomesha wachawi. Yaani maisha ya Umughaka na Monica hadi Umughaka kumaliza shule na kuanza kujitegemea ilihali Monica alikuwa mjamzito.

Je Monica alizaa?
Walioana?
Wanaishi pamoja au waliachana?
 
Uishi na mchawi hachelewi kukutoa sadaka
 
Mm nadhni umughaka ndio amemuoa Monica na anaishi na sas HV tusibiri tuone Wenda jama akaja na nmna walivyo ishi na Monica toka 2004 had 2022 siyo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…