Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Hii mihogo tumekuwa tukisikiliza habari wanatangaza imeuwa watu hapo zaman,habari za hivyo zilkuwa nyingi,nilkuwa najiuliza hao watu walikuwa wanailaje na huo uchungu au ipo mitamu
Mihogo michugu(lumala) hii mihogo isikie tu umenirudisha mbali sana mzee UMUGHAKA

Hii stori ni maisha halisi kabisa ya vijiji vya usukumani kwa kipindi kile![emoji3]
 
Headmaster "Ngoja licheze na dunia,sikuhizi badala ya kusoma limeanza kuhangaika na wanawake!"
Aliendelea "Mabinti wa hii shule niwa kuhangaika nao?,ngoja acheze na hiki kijiji kama hatujamuacha hapa".

πŸ˜‚πŸ˜‚ Maneno kama haya kuna jamaa yangu aliambiwa na headmaster ni baada ya kukutwa amembana demu ukutani anamuuandaa kwa show ilikua jumamosi usiku.

Ilipofika jumatatu tukaitwa ofisini hadi rafiki zake ndio master akamwambia jamaa yetu maneno kama hayo na ni kweli jamaa alibaki kijijini alioa kule kule nikienda bas uwa nacheka sana asee.

Sasa na leo nakuta maneno haya kwenye story ya huyu jamaa nabaki nacheka tu.
 
Kumbe ni thread ni tamu hivi, nimeanza isoma leo asubuhi. Nimesoma episodes zote 24, muandishi anajua hasa.

Niliitafuta baada ya watu kwenye thread ya mshana jr kuanza kumlinganisha monica mke wa masanja mkandamizaji na huyu monica wa omoghaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…