Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Kumbe ni thread ni tamu hivi, nimeanza isoma leo asubuhi. Nimesoma episodes zote 24, muandishi anajua hasa.
Niliitafuta baada ya watu kwenye thread ya mshana jr kuanza kumlinganisha monica mke wa masanja mkandamizaji na huyu monica wa omoghaka.
Kwa hyo leo ujafanya kazi yoyote mkuu ulikuwa unasoma hbr za umughaka tu uko vzr [emoji3][emoji3]

Mim nitamuomba umughaka anipe hiki kiss Chake Kisha nizalishe kitabu kwa lugha ya kingereza nikawauzie wazungu nitapiga hell mbaya mbovu
 
Cc: Depal
 
Bado mapema Sana'a, mwaache akimbize golini abiria
Na sio siri, jamaa anajitahidi sana! Na hii simulizi, nadhani ni mojawapo ya simulizi iliyopendwa, na ambayo inafuatiliwa sana na member tuliopo hapa JF. Kiasi kwamba, jamaa akichelewa kuleta mwendelezo mpya, tunaona kama HATUTENDEWI HAKI! Tunajisahau kama amejitolea kwa kiwango cha hali ya juu sana!
 
Mlete Lameki Made Makono
Mlete Monica.. ....Hawa akina Monica hawa ogopa sana kwa kutengeneza vichwa vya habari, Monica Lewinski kidogo asababishe namba 1 wa USA ale mweleka. Sasa Monica wa Bongo ndio usiseme kafanya kweli.

Sijajua Monica UMUGHAKA itakuwaje
 
Maana wengi wao wanaanzisha story then wanakimbia, ila mwamba ajengewe sanamu lake hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…