Habari Wakuu, huu uzi wakati unaanza nilikuwa napita mbali nao.
Ila baada ya kuuona unatrend sana ikabidi niufungue nione ndani kuna nini.
Kwakweli nilipoufungua nikajikuta nimekuwa mlevi wa hii stori.
Harakati zangu za kutoka kazini mpaka nafika nyumbani ni wastani wa saa 4 usiku.
Nilijikuta nalazimika kulala saa 6 au 7 kwa muda wote ambao nilikuwa naufuatilia huu uzi.
Sijawahi kuwa mlevi wa stori namna hii.
Halafu ukute akina monika wameuacha uchawi, hnasikitisha sana, mimi ningekuwa umughaka ningeuendeleza huo uchawi.