Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Ndo kwanza nipo episode ya 5, sijui nitamaliza lini
 
Kesho na Mimi nitaanza kusimulia kisa changu cha kukutana na SHAN bint SADIKI (Jini lenye uzuri wa ajabu) hii ni story ya kweli ilinitokea mwishoni mwa miaka ya tisini na nikawa huru 2006

Nawahaidi kuimaliza yote ndani ya siku nne tu

Asanteni
Natia kambi
 
Hongera sana kwa hadithi nzuri...Imejitahidi kutuongezea siku..
 
Story kali sana kama ya KHUMBU,ila ya Khumbu iliingiliwa doa baada ya mwishoni jamaa kutupostia picha feki ya Khumbu
 
Habari Wakuu, huu uzi wakati unaanza nilikuwa napita mbali nao.
Ila baada ya kuuona unatrend sana ikabidi niufungue nione ndani kuna nini.

Kwakweli nilipoufungua nikajikuta nimekuwa mlevi wa hii stori.
Harakati zangu za kutoka kazini mpaka nafika nyumbani ni wastani wa saa 4 usiku.
Nilijikuta nalazimika kulala saa 6 au 7 kwa muda wote ambao nilikuwa naufuatilia huu uzi.
Sijawahi kuwa mlevi wa stori namna hii.

Halafu ukute akina monika wameuacha uchawi, hnasikitisha sana, mimi ningekuwa umughaka ningeuendeleza huo uchawi.
 
Hatimaye stori imefika tamati, kongole kwako msimuliaji
 
Back
Top Bottom