Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natia kambiKesho na Mimi nitaanza kusimulia kisa changu cha kukutana na SHAN bint SADIKI (Jini lenye uzuri wa ajabu) hii ni story ya kweli ilinitokea mwishoni mwa miaka ya tisini na nikawa huru 2006
Nawahaidi kuimaliza yote ndani ya siku nne tu
Asanteni
Eeee kwani uchawi unamzuia kuzaa au kufanya mambo mengine? Uchawi upo kwny fikra za monica hahahaAwe mr. Mchawi?😅
Nimeanza leo ndo naimalizia muda huu. Hongera sana mkuu story yako nzuri sana. Ila ungemuoa Monica jamani.