Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Acha ujinga.Unasimulia mambo mengi ya kulakula tu.Halafu kutudanganya kwamba kiingilio cha kutazama video ilikuwa Tsh 100/= umeona hatuna akili?Shule za kata zimeanza mwaka 2006 kujengwa.Tsh 100/= ilikuwa na thamani hiyo?Acha ungedere.
Kwenu ndo zimeanza 2006 mbuzi wa Emma wewe
 
Nimefurahishwa sana na simulizi yako hii ya kusisimua, ahsante.
 
Title matters
 
Na kwa kuongezea kijijini kwetu hiyo 100 walikuwa wanalipa watu wazima ila madogo janja ilikuwa ni sh 50
Sahihi kabisa hata kijijini kwetu miaka hiyo tumelipa bei hiyo sana,tena sisi tulikuwa tunalipa kuangalia mikanda ya video au mazingaombwe
 
Mzee wa kuzugia UMUGHAKA ana msumari mwingine unabamba balaa,upo on fire saiv na bado unaendelea,hebu piteni nao "NILIVYONUSURIKA KIFO BAADA YA MZEE KUNITIMUA NYUMBANI"
 
Ila kitu ya kunambia mwanamke anatembea usiku peke yake bado hainingii akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…