Mivyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 275
- 533
96?😆hata primary nilikuwa sijaanza!!Upo sahihi kabisa! Ngoko yaza alikua maarufu sana mwanzugi! Tuliondoka kule 1996 long time sana! Lile bwawa tumevua sana samaki, nimewinda sana digi digi, tumetungua sana mibuyu😀!! nasikia pamebadilika sana...nitarudi kutembea...
Nimefurahi umenikumbusha mbali..
Now pamebadilika mno! Japo hata mimi sijapita kitambo.