Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Upo sahihi kabisa! Ngoko yaza alikua maarufu sana mwanzugi! Tuliondoka kule 1996 long time sana! Lile bwawa tumevua sana samaki, nimewinda sana digi digi, tumetungua sana mibuyu😀!! nasikia pamebadilika sana...nitarudi kutembea...
Nimefurahi umenikumbusha mbali..
96?😆hata primary nilikuwa sijaanza!!
Now pamebadilika mno! Japo hata mimi sijapita kitambo.
 
Back
Top Bottom