Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Haiwezi kutokea. Kule nilisoma tu primary kwetu kwingine kabisa. Nilikua napasikia tu Ziba, sijui Nsimbo kulikua na sekondari ya Umoja, nilikua napita njia ya Igunga kwenda Nkinga bila kupitia njia ya Nzega.

Kuishi maeneo ya wamissionari kulinipa exposure muhimu sana na kumejenga msingi wa mambo mengi yaliyonifanya niwe hivi nilivyo Leo.

Tokea niondoke 96 baada ya kumaliza elimu ya msingi, sijawahi kurudi Tena. Natamani sana siku Moja nipite kutembea hayo maeneo.

Ntafanya maarifa na Evelyn Salt tuje kufanya ziara, nna project nae sema inasua sua
Evelyn Salt Pole weeeee..... unaenda kudinywa kwenye kakibanda ka Monica
 
Ndugu zangu nisameheni sana leo nilikuwa kwenye matatizo ya kifamilia.

Nilienda huku bunju ambako nafanyia shughuli zangu kama kawaida,sasa nikiwa huko nikapigiwa simu na mke wa brother kwamba kuna mgogoro wa kifamilia,sasa nimefika pale nikakuta kuna kashikashi la kufa mtu lilipolekea mimi na brother kutwangana makonde hasa!.

Sasa kwa hasira nilizokuwa nazo nimejikuta hata kuendesha pikipiki kwa umakini nashindwa ikapelekea kupata ajali,ingawa sijaumia sana ila nimepata vimichubuko vya hapa na pale ila pikipiki imeumia!.

Hivyo mniwie radhi ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya sana kwangu!.

Iweje tena mpigane jamani ?pole sana
 
Pole mkuu umughaka au mchawi Bado anakufatilia nn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu nisameheni sana leo nilikuwa kwenye matatizo ya kifamilia.

Nilienda huku bunju ambako nafanyia shughuli zangu kama kawaida,sasa nikiwa huko nikapigiwa simu na mke wa brother kwamba kuna mgogoro wa kifamilia,sasa nimefika pale nikakuta kuna kashikashi la kufa mtu lilipolekea mimi na brother kutwangana makonde hasa!.

Sasa kwa hasira nilizokuwa nazo nimejikuta hata kuendesha pikipiki kwa umakini nashindwa ikapelekea kupata ajali,ingawa sijaumia sana ila nimepata vimichubuko vya hapa na pale ila pikipiki imeumia!.

Hivyo mniwie radhi ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya sana kwangu!.
Duh pole bro
 
pole sana chief, i hope umemuingia brother mbili-tatu.
 
pole sana mkuu
 
Pole sana ndugu
 
Back
Top Bottom