Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Kuna watu hawatakuamini[emoji38] But kwa Kisa huku,inaonyesha ulikuwa Maeneo ya Mkoa wa Tabora hasa hasa kwenye vijiji vya wilaya ya Igunga,Urambo au Kaliua! Misemo ya Senta na Malambo ndo iko huko[emoji23]Uchawi wa kuona mienge ya Moto kwenye miti huku miti yenyewe haiteketei ndo michezo yao hasahasa Igunga Vijijini[emoji38]Ukarimu wa kuwatunza Walimu ndo zao!! Unanikumbusha mbali sana!! Ulichokiandika kina ukweli kabisaa [emoji3578]
Sio Simiyu hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu nisameheni sana leo nilikuwa kwenye matatizo ya kifamilia.

Nilienda huku bunju ambako nafanyia shughuli zangu kama kawaida,sasa nikiwa huko nikapigiwa simu na mke wa brother kwamba kuna mgogoro wa kifamilia,sasa nimefika pale nikakuta kuna kashikashi la kufa mtu lilipolekea mimi na brother kutwangana makonde hasa!.

Sasa kwa hasira nilizokuwa nazo nimejikuta hata kuendesha pikipiki kwa umakini nashindwa ikapelekea kupata ajali,ingawa sijaumia sana ila nimepata vimichubuko vya hapa na pale ila pikipiki imeumia!.

Hivyo mniwie radhi ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya sana kwangu!.
Nyie wakurya huwa mnadundana hata mkiwa mjini kumbe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom