Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Yale mavi uliokadiria kilo tatu yaliyokuwa kwenye meza nahisi alikunya mzee mkono peke yake bila usaidizi
 
Huwezi amini ndugu msimuliaji nimeimagine tako la mwise lilivo kubwa nikaanza kuchaputika wazungu wametoka kama wote
 
Kuna hii principle ya kua usianze kitu ambacho hauna uhakika wa kukimaliza, I live by it.

Hizo meditation, How to think like a budha, A monk who sold his Ferrari, Mambo ya Metaphysics au Atomic behaviors, 12 Rules for Life, sio sababu ya kufanya kutokuulizia muendelezo.

Monica alifanya nini baada ya Mwamba kupasuliwa? Amalize alilolianza
Mkuu anzisha uzi mkuu tuko hapa wafuaai mkuu
 
SIMULIZI TAM KISHENZI LETE NYINGINE
 
Story nzuri sana, nilikuwa nikiiona tu nikaitengea muda, hatimae nimeimaliza,

Katika maisha hakuna kitu kinaumiza ama kukupa upweke, kama kutengana na the ones you loved the most.....!

Hakuna jinsi maisha inabidi yaendelee without monica,

Nimemiss sana upendo wa jinsi hii....

I can feel her pain! Since mmetengana, sidhani kama alipata wa kuziba pengo lako.


Ulimuacha na huzuni...I wish I could be there and take you turn!
Mapenzi mazito ya namna hii yaliisha miaka ya mwishoni 1990's
 
Back
Top Bottom