Tulichosema kuhusu Kigamboni kimetimia: Tukimbilie wapi?

we should not allow people to make those directional thinking BUT make sure they know what it is that is being done. Silence is a bad strategy:evil:
 
Kama mradi wa jiji la kisasa-kigamboni una tija kwa taifa,kwa nini mipango yake haiko wazi? Suala la daraja siyo hoja,ni kwamba inakuwaje daraja lijengwe kwa fedha za NSSF wakati lengo la mradi wa kigamboni ni kuendelezwa kwa uwekezaji wa marekani?
 
hicho ndicho kinakanushwa na JK!
 
huo mji wa kisasa wataishi wanakigamboni ama wageni na wenyeji waishi porini
 
Sometime serikali lazima iingilie maeneo nyeti kwa manufaa ya TZ ata leo hii DUBAI bila mamlaka zao kuingilia na kupanga miji yao yale magofu yangalikua bado yapo mpaka leo! Lazima miji ipangwa kwa hatua na awamu KIGAMBONi ni lango litapendeza sana km litajengeka kisasa ukiendelea kusikiliza porojo za watu kila wanapoguswa utasikia nchi imeuzwa kumbee woga tu na chuki za maendeleo..Kigamboni ibinafsishwe kwa US kwa malengo yapi? Baada ya apo seriakal ihamie na TEMEKE/TANDIKA mpaka YOMBO yote
 
ningependa kupata updates juu ya kinachoendelea kuhusu kuifanya kigamboni kuwa mji wa kisasa.mwenye updates zozote tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…