ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,476
duh kaka pesa yenyewe mshahara kwa mshahara - lazima uwe muoga kidogo kuingiza sehemu kuna tanuru la moto - nafikiri serikali ingekuwa inawajali watu wake - wangeruhusu upimaji then watumilikishe kwa muda ili wawekezaji wakija tupate bei ya soko tusogee mbele zaidi tuwaachie eneo lao.Aisee jamaa wewe sio entrepreneur uoga wako ndio umaskini wako, jenga fasta fasta malipo ni pale pale, court is there to protect you.
anyway acha tusubiri hatma yetu sisi wanyonge wa nchi hii. mi nishakabidhi yote kwa mungu sina namna yoyote, hapa nafikiria tu kutafuta sehemu nyingine, ila viwanja ni ghali sana nafikiri nitaenda mkulanga tu - i hope kule kupo safe.