Tulidanganywa sana kuhusu vidole viwili vilivyokunjuliwa hewani kuwa ni alama ya Shetani-Freemason!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Tukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo ni lugha ya alama(sign language) ya Marekani ya "i love you"/ nawapenda/nakupenda wao wanawafundisha watu ni salamu ya Freemason.
Ujinga mtupu.
20241104_070234.jpg
 
Wazushi walikuwa ni masheikh ubwabwa walioishia darasa la saba walikuwa wanafyatua CD nyingi juu kwenye makaratasi wamemchora Obama, Papa akisalimiana na watu maarufu, Rick Ross na macheni yake na mapete. Juu ya CD wanachora bikari na kuandika 666 na alama za damu kushawishi mauzo.

Ndani maelezo yao wanaanza kusema Manchester United ni timu ya shetani ndio maana inajiita Red Devils. Wanaandika ubaoni kujumlisha herufi za maneno mfano computer wanafanya wanavyojua wao mwishoni jibu ni 666 tiyari hiyo imeanzishwa na Freemason.

Waliuza mno nadhani ndio kipindi masheikh majini wanapiga hela. Baadae wakaja kina Dokta Ndodi "Hakikaa... hakiikaa... natembea mimi ni marehemu".
Kabla kina Mwamposa hawajaanza kuuza maji.
 
Walikuwa wanakusanya umati, wako hadi na matisheti na mikanda yenye picha na logo za Freemason!🤣
 
Wote hao (hasa masheikh) soko lao ni wajinga.
 
Walikuwa wanakusanya umati, wako hadi na matisheti na mikanda yenye picha na logo za Freemason!🤣
Kule home walitudaka sana vichwa, ile Logo ya Arsenal wanaizoom wanaichambua mara waelezeee the Gunners, wanakwambia ile IMF wanazuga tu ila kirefu chake kutoka mwisho kwenda mwanzo ni Freemason International 😂zile CD waliuza sana kwenye saloon, kwenye hivi vibanda vinavyorusha Movies & na kwenye vibanda tulivyokuwa tunaaangalia movie zilizotafsiriwa
 
Tukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo ni lugha ya alama(sign language) ya Marekani ya "i love you"/ nawapenda/nakupenda wao wanawafundisha watu ni salamu ya Freemason.
Ujinga mtupu.
Freemasonry siyo cult kama mnavyoaminishwa, learn to unlearn the toxic which were pumped into your brain.
 
Wazushi walikuwa ni masheikh ubwabwa walioishia darasa la saba walikuwa wanafyatua CD nyingi juu kwenye makaratasi wamemchora Obama, Papa akisalimiana na watu maarufu, Rick Ross na macheni yake na mapete. Juu ya CD wanachora bikari na kuandika 666 na alama za damu kushawishi mauzo.

Ndani maelezo yao wanaanza kusema Manchester United ni timu ya shetani ndio maana inajiita Red Devils. Wanaandika ubaoni kujumlisha herufi za maneno mfano computer wanafanya wanavyojua wao mwishoni jibu ni 666 tiyari hiyo imeanzishwa na Freemason.

Waliuza mno nadhani ndio kipindi masheikh majini wanapiga hela. Baadae wakaja kina Dokta Ndodi "Hakikaa... hakiikaa... natembea mimi ni marehemu".
Kabla kina Mwamposa hawajaanza kuuza maji.
Dini zote ni utapeli(usanii).
 
Tukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo ni lugha ya alama(sign language) ya Marekani ya "i love you"/ nawapenda/nakupenda wao wanawafundisha watu ni salamu ya Freemason.
Ujinga mtupu.
sasa unachokataa nini?

ni kwa kiasi gani unafahamu jinsi ulimwengu wa roho unavyofanya kazi?
jihoji kwanza

JESUS IS LORD&JESUS
 
signs of Satan.

dunia upo mikononi mwa shetani
SWALI
Je! Shetani ni mungu wa ulimwengu huu (2 Wakorintho 4: 4)?
JIBU

Kifungu "mungu wa ulimwengu huu" (au "mungu wa wakati huu") kinaonyesha kwamba Shetani ni mshawishi mkubwa kwa maadili, maoni, malengo, matumaini na maoni ya watu wengi. Ushawishi wake pia unahusisha falsafa za ulimwengu, elimu, na biashara. Mawazo, fikira, ujasusi na dini za uongo za ulimwengu ziko chini ya udhibiti wake na zote zimetokana na uongo wake na udanganyifu.

Shetani pia anaitwa "mkuu wa nguvu ya anga" katika Waefeso 2: 2. Yeye ndiye "mtawala wa ulimwengu huu" katika Yohana 12:31. Majina haya na mengi zaidi yanalenga uwezo wa Shetani. Kwa mfano, kusema, kwamba Shetani ni "mkuu wa nguvu za anga" ni kuonyesha kwamba kwa namna fulani yeye anatawala duniani na watu walio ndani yake.

Hii sio kusema kwamba anatawala ulimwengu wote kabisa; Mungu bado ndiye mwenye mamlaka yote. Lakini inamaanisha kuwa Mungu, kwa hekima yake isiyo na mwisho, ameruhusu Shetani kufanya kazi katika ulimwengu huu ndani ya mipaka ambayo Mungu amemwekea. Wakati Biblia inasema Shetani ana nguvu juu ya ulimwengu, tunapaswa kukumbuka kwamba Mungu amempa mamlaka juu ya wasioamini tu. Waumini hawako chini ya utawala wa Shetani (Wakolosai 1:13). Kwa upande mwingine, wasioamini, hupatikana "katika mtego wa shetani" (2 Timotheo 2:26), uongo katika "nguvu ya mwovu" (1 Yohana 5:19), na wako katika utumwa wa Shetani (Waefeso 2: 2).

Kwa hivyo, wakati Biblia inasema kwamba Shetani ni "mungu wa ulimwengu huu," haimaanishi kuwa ana mamlaka ya mwisho. Inawasilisha wazo kwamba Shetani anatawala ulimwengu usioamini kwa namna fulani. Katika 2 Wakorintho 4: 4, asiyeamini anafuata mipango ya Shetani: "mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu." Mpango wa Shetani unajumuisha kukuza falsafa za uongo katika ulimwengu- falsafa ambazo zinamfunga macho asiyeamini kwa ukweli wa injili. Falsafa ya Shetani ni ngome ambazo watu wamefungwa, na lazima wawekwe huru na Kristo.

Mfano wa falsafa moja ya uongo ni imani kwamba mtu anaweza kupata kibali cha Mungu kwa tendo fulani au matendo. Karibu kwa kila dini zote za uongo, kustahili kibali cha Mungu au kupata uzima wa milele ni mandhari kuu. Kupata wokovu kwa kazi, hata hivyo, ni kinyume na ufunuo wa kibiblia. Mtu hawezi kufanya matendo ili apate kibali cha Mungu; Uzima wa milele ni zawadi ya bure (ona Waefeso 2: 8-9). Na zawadi ya bure inapatikana kwa njia ya Yesu Kristo na yeye pekee (Yohana 3:16; 14: 6). Unaweza kuuliza kwa ni nini mwanadamu hapokei zawadi ya bure ya wokovu (Yohana 1:12). Jibu ni kwamba Shetani-mungu wa ulimwengu huu-amejaribu wanadamu kufuata kiburi chake. Shetani anaunda ajenda, na ulimwengu usioamini unafuata, na wanadamu wanaendelea kudanganywa. Sio ajabu ndio maana Maandiko huita Shetani kuwa mwongo (Yohana 8:44).
 
maadam president anaamini katika utawala wa Satan hapo kampa masonic salute kama ilivyo desturi kwa masonic members wote 🌎
 
SATAN

Satan being kept casting down to Tartarus, and kept for judgement 2Pet 2:4.

HIS NAMES:
Revelation 12:9 records 4 of his names:-
1. "the great dragon" speaks for his cruelty
2. " the ancient serpent" speaks of his deception
3. " the devil" speaks of his temptations
4. " Satan" speaks of his hatred.
"the god of this age" in 2 Corinthians 4:4 speaks of his as the leader of the worldly religion.

"the ruler of the world" John 14:30 speaks of him as the head of the great world powers.

"the ruler of the authority of the air" in Ephesians 2:2 speaks of him as the king of the evil spirits.

Revelation 12:10 speaks of him as the "accuser of our brothers"

Revelation 9:11 speaks of him as the "angel of abyss"

To those who are not sober and watchful, he is " a roaring lion"1Pet 5:8

To the watchful believers, he transfigures himself into an "angel of light" 2Corinthians 11:13-15.
signs of Satan.

dunia upo mikononi mwa shetani
 
Back
Top Bottom