Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
hawezi pata huo u president pamoja na kuamini kwake masheitwanimaadam president anaamini katika utawala wa Satan hapo kampa masonic salute kama ilivyo desturi kwa masonic members wote 🌎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawezi pata huo u president pamoja na kuamini kwake masheitwanimaadam president anaamini katika utawala wa Satan hapo kampa masonic salute kama ilivyo desturi kwa masonic members wote 🌎
takbiiirTukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo ni lugha ya alama(sign language) ya Marekani ya "i love you"/ nawapenda/nakupenda wao wanawafundisha watu ni salamu ya Freemason.
Ujinga mtupu.
Mgombea Urais kupitia chama cha democratic akitoka jukwaani(Georgia) hapo jana huku akionyesha hiyo alama! Wale mnaoamini freemason,hapa alimaanisha nini??
View attachment 3143061
View: https://twitter.com/KamalaHarris/status/1852789295527944485/photo/1

Mtu akiwa freemason akiwa nani sijui mradi haathiri wengine kwani Kuna shida gani jamani!
Kwanini huwa mtu akiwa tofauti na wengine inakuwa nongwa!

Tukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo ni lugha ya alama(sign language) ya Marekani ya "i love you"/ nawapenda/nakupenda wao wanawafundisha watu ni salamu ya Freemason.
Ujinga mtupu.
Mtu akiwa freemason akiwa nani sijui mradi haathiri wengine kwani Kuna shida gani jamani!
Kwanini huwa mtu akiwa tofauti na wengine inakuwa nongwa!
Nimecheka saana, Hakika... hakika... natembea Mimi ni marehemu"Wazushi walikuwa ni masheikh ubwabwa walioishia darasa la saba walikuwa wanafyatua CD nyingi juu kwenye makaratasi wamemchora Obama, Papa akisalimiana na watu maarufu, Rick Ross na macheni yake na mapete. Juu ya CD wanachora bikari na kuandika 666 na alama za damu kushawishi mauzo.
Ndani maelezo yao wanaanza kusema Manchester United ni timu ya shetani ndio maana inajiita Red Devils. Wanaandika ubaoni kujumlisha herufi za maneno mfano computer wanafanya wanavyojua wao mwishoni jibu ni 666 tiyari hiyo imeanzishwa na Freemason.
Waliuza mno nadhani ndio kipindi masheikh majini wanapiga hela. Baadae wakaja kina Dokta Ndodi "Hakikaa... hakiikaa... natembea mimi ni marehemu".
Kabla kina Mwamposa hawajaanza kuuza maji.
Mashehe wa kenya ndio walianza. Kipindi cha kikwete kulikuwa orodha nyingi za watanzania maarufu walio freemason. Alipoingia magufuli orodha zote zilipoteaWazushi walikuwa ni masheikh ubwabwa walioishia darasa la saba walikuwa wanafyatua CD nyingi juu kwenye makaratasi wamemchora Obama, Papa akisalimiana na watu maarufu, Rick Ross na macheni yake na mapete. Juu ya CD wanachora bikari na kuandika 666 na alama za damu kushawishi mauzo.
Ndani maelezo yao wanaanza kusema Manchester United ni timu ya shetani ndio maana inajiita Red Devils. Wanaandika ubaoni kujumlisha herufi za maneno mfano computer wanafanya wanavyojua wao mwishoni jibu ni 666 tiyari hiyo imeanzishwa na Freemason.
Waliuza mno nadhani ndio kipindi masheikh majini wanapiga hela. Baadae wakaja kina Dokta Ndodi "Hakikaa... hakiikaa... natembea mimi ni marehemu".
Kabla kina Mwamposa hawajaanza kuuza maji.
jiulize ulishahi kuona wapi hiyo pumzi unayovuta.Acha uongo, shetani umemuona wapi.
subiri uchaguzi upita halafu urudi hapahawezi pata huo u president pamoja na kuamini kwake masheitwani