Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Ni nzuri mno...zimekaa kiproffessional sanaNapenda dressing code zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nzuri mno...zimekaa kiproffessional sanaNapenda dressing code zake.
Walitupiga sana ba mimi nikiwemo.Wazushi walikuwa ni masheikh ubwabwa walioishia darasa la saba walikuwa wanafyatua CD nyingi juu kwenye makaratasi wamemchora Obama, Papa akisalimiana na watu maarufu, Rick Ross na macheni yake na mapete. Juu ya CD wanachora bikari na kuandika 666 na alama za damu kushawishi mauzo.
Ndani maelezo yao wanaanza kusema Manchester United ni timu ya shetani ndio maana inajiita Red Devils. Wanaandika ubaoni kujumlisha herufi za maneno mfano computer wanafanya wanavyojua wao mwishoni jibu ni 666 tiyari hiyo imeanzishwa na Freemason.
Waliuza mno nadhani ndio kipindi masheikh majini wanapiga hela. Baadae wakaja kina Dokta Ndodi "Hakikaa... hakiikaa... natembea mimi ni marehemu".
Kabla kina Mwamposa hawajaanza kuuza maji.
Umedanganywa na nani? Kuna masananmu kibao yanaonesha hizo ni sign za Shetani na hao wanaoabudu hizo Dini za shetani hawakatai, kweli uchawa ni kazi.Tukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo ni lugha ya alama(sign language) ya Marekani ya "i love you"/ nawapenda/nakupenda wao wanawafundisha watu ni salamu ya Freemason.
Ujinga mtupu.
Nini maana ya APANA MUDRAUko sahihi sana Yoda Hiyo ndo maana Yake kwakuwa inaresemble Love..
Japo Pia Hutumika Kama Mudra..(APANA MUDRA)
Kucalm the Bad Energy na Kuvuta Energy nzuri
View attachment 3143292
Ukienda kwa Wakatolic Wanayo Picha Yesu akifanya Apana Mudra wakati fulani ili kuclean Energy mbaya inayomzunguka..
View attachment 3143294
Wanaweza wakaamua kutumia hata uume kama alama yao na cha kuwafanya hunaVipi kuhusu upinde na mashoga?
Kasoro UISLAM ..Dini zote ni utapeli(usanii).
Hakuna shida kwan mimi nimepinga hilo mkuu?Wanaweza wakaamua kutumia hata uume kama alama yao na cha kuwafanya huna
Kwanza Tuanze nini maana Ya Mudra maana Mudra ziko Nyingi sana na Apana Ni moja ya Mudra tu..Nini maana ya APANA MUDRA
naomba elimu tafadhari
Watu mna chuki aisee....dah!Wote hao (hasa masheikh) soko lao ni wajinga.