Tulidanganywa sana kuhusu vidole viwili vilivyokunjuliwa hewani kuwa ni alama ya Shetani-Freemason!

maadam president anaamini katika utawala wa Satan hapo kampa masonic salute kama ilivyo desturi kwa masonic members wote 🌎
hawezi pata huo u president pamoja na kuamini kwake masheitwani
 
takbiiir
 
We ndo fwala hujui kitu hii ni ishara ya salamu ya wajenzi huru eti ilove you na ishara ya kopa inaashiria nini?
 

Inawezekana ni kweli na Inawezekana sio kweli, hiyo ni alama ya siri ya makundi ya siri.

Hakuna anayeaminishwa. Ila Fremasonry wanafanya mambo yao kwa siri sana na wana codes zao za mawasiliano. Hilo lipo, sio suala ya kuaminishwa. Na kama sio mmoja wao mengine hutaweza kuyajua
 
Nimecheka saana, Hakika... hakika... natembea Mimi ni marehemu"
 
Mashehe wa kenya ndio walianza. Kipindi cha kikwete kulikuwa orodha nyingi za watanzania maarufu walio freemason. Alipoingia magufuli orodha zote zilipotea
 
Acha uongo, shetani umemuona wapi.
jiulize ulishahi kuona wapi hiyo pumzi unayovuta.
kama hujawahi kuona basi tambua ya kwamba ilipo pumzi unayovuta ndipo alipo huyo shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…