Tulidanganywa sana kuhusu vidole viwili vilivyokunjuliwa hewani kuwa ni alama ya Shetani-Freemason!

Walitupiga sana ba mimi nikiwemo.

Wanachora G kubwa imesimama ndani ya Pembe tatu na Bikali.
Pembeni pete nyingi za dhahabu na silver😅😅😅
 
Umedanganywa na nani? Kuna masananmu kibao yanaonesha hizo ni sign za Shetani na hao wanaoabudu hizo Dini za shetani hawakatai, kweli uchawa ni kazi.

Hio ni Horn sign na zipo sign nyingi tu. Hiyo sign unaipata kwenye Baphomet hand


Moja ya Kanisa la shetani linalojulikana lipo Detroit Marekani na nje kuna sanamu la Baohomet. Hawajifichi wanajulikana na hata wewe unaweza kwenda ukaliona.

Bbc pia Wali report lilipozinduliwa
 
Uko sahihi sana Yoda Hiyo ndo maana Yake kwakuwa inaresemble Love..

Japo Pia Hutumika Kama Mudra..(APANA MUDRA)
Kucalm the Bad Energy na Kuvuta Energy nzuri


Ukienda kwa Wakatolic Wanayo Picha Yesu akifanya Apana Mudra wakati fulani ili kuclean Energy mbaya inayomzunguka..
 
Africa tuna ujinga usio na maana imagine rangi za rainbow zipo miaka na miaka ila baada ya issue za ushoga basi hadi shule ikionekana na hizo rangi raia wanapiga simu polisi na wanatangaza shulejinafundisha mambo ya kishoga..
Isee tunaujinga wa hali ya juu sana.
 
Wanaweza wakaamua kutumia hata uume kama alama yao na cha kuwafanya huna
Hakuna shida kwan mimi nimepinga hilo mkuu?
Na hata wakiamua kutumia hiyo symbol kwan watakua wa kwanza?
Au hujui huu mnara pale US ni code ya uume kama ilivyokua kwa sanamu ya Nebchadnezer aa Babylon?
 
Nini maana ya APANA MUDRA

naomba elimu tafadhari
Kwanza Tuanze nini maana Ya Mudra maana Mudra ziko Nyingi sana na Apana Ni moja ya Mudra tu..

Mudra ni symbolic hand gesture Ambayo inatumika ku activate and create a circuit of prana (Life Force/Vital energy) in the body"

Sasa Jinsi unavyoweka Mikono Ndo una activate Hizo vital Energy au Life Force kwa kazi gani kwa mfano kuna Ila mudra ya Kunyamazisha watu..

Kuna ile ya kutaka Nisikilizwe..

Zipo nyingi sana kuna ya Kutaka Amani itawale..

So unapoweka gesture hiyo una activate Circuit na mwili unaongeza energy uliyoomba Kulingana na Vital Energy you posses..

Kwa mfano Apana ni kwa ajili ya Kuondoa negative energy na Detoxy from mabaya..
Ukiwa sehemu kuna watu wengi huwezj jua nani mbaya na nani mwema So ukifanya APANA muxra ni kama unazuia Ubaya na Kuencarage upendo..
 
Alama ni lugha, kama huijui huwezi kujua kilichomaanishwa hivyo basi lazima mtu mwenye ufahamu sahihi akujulishe, kinyume na hapo zinabaki hear say na maoni ya mtu binafsi...tafiti,soma Kwa waliowahi kuwa ndani au waliowahi kuwa karibu na watu wa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…