Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Mimi nadhani wako kule mpaka leo KWAKUWA HAWATAWEZA KUTOKA TENA KULE.Jiulize leo siku ya ngapi Wapo huko.... Unafikir russia anapenda Ukraine wawepo kule.... Maji yamezidi... Watu wanakunywa uji badala ya ugali....