Tulikamatwa kinyume na sheria kwa sababu za kisiasa na tukaachiwa kisiasa

Tulikamatwa kinyume na sheria kwa sababu za kisiasa na tukaachiwa kisiasa

Bro ulimmiss yule nyapara jamaa yako maana umejiingiza kwenye kitu kisichouhusu ili tu upelekwe mahabusu. Bro, utakuja kufa vibaya Sana kwa huu upuuzi wako. Hizi sifa wanazokusifu huku mtandaoni zitakuja kukutokea puani.

Hakuna mtu mmoja chini ya jua aliyewahi kushindana na dola na akashinda. Huoni wakina mbowe baada ya kuminywa pumbu wametulia.
 
Lakini pia bado niko kwenye mashauriano na mawakili wangu nataka kuwafungulia kesi baadhi ya maafisa wa polisi kwa majina yao badala ya vyeo vyao maana askari unapofanya vitu kinyume na sheria hiyo ni utashi wake binafsi na anapaswa kuwajibika mwenyewe.
👏
 
Bro ulimmiss yule nyapara jamaa yako maana umejiingiza kwenye kitu kisichouhusu ili tu upelekwe mahabusu. Bro, utakuja kufa vibaya Sana kwa huu upuuzi wako. Hizi sifa wanazokusifu huku mtandaoni zitakuja kukutokea puani.

Hakuna mtu mmoja chini ya jua aliyewahi kushindana na dola na akashinda. Huoni wakina mbowe baada ya kuminywa pumbu wametulia.
Usitake kila mtu awe mateka wa watesi wetu . Uoga wako usigeuze kuwa ugonjwa wa kuambukiza watanganyika wengine.

Mbowe hiyo mikutano anayofanya anazungumzia nini?
 
6. 𝗠𝘀𝗶𝗺𝗮𝗺𝗼
Msimamo wetu ni kwamba maandamano ya nchi nzima yako palepale. Kitu pekee kitakachositisha maandamano haya ni serikali kusitisha mkataba huu mbovu wa bandari kati ya nchi yetu na DP World ya Dubai. Kwenye hili sisi tuko tayari kunyongwa, kwanza kunyongwa kwa ajili ya kupigania rasilimali za nchi hii ni fursa tunayoitaka hata kesho. Hatumuogopi yoyote isipokuwa Mungu muumbaji wa mbinguni.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
 
Back
Top Bottom