Tulikamatwa kinyume na sheria kwa sababu za kisiasa na tukaachiwa kisiasa

Bro ulimmiss yule nyapara jamaa yako maana umejiingiza kwenye kitu kisichouhusu ili tu upelekwe mahabusu. Bro, utakuja kufa vibaya Sana kwa huu upuuzi wako. Hizi sifa wanazokusifu huku mtandaoni zitakuja kukutokea puani.

Hakuna mtu mmoja chini ya jua aliyewahi kushindana na dola na akashinda. Huoni wakina mbowe baada ya kuminywa pumbu wametulia.
 
๐Ÿ‘
 
Usitake kila mtu awe mateka wa watesi wetu . Uoga wako usigeuze kuwa ugonjwa wa kuambukiza watanganyika wengine.

Mbowe hiyo mikutano anayofanya anazungumzia nini?
 
6. ๐— ๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ผ
Msimamo wetu ni kwamba maandamano ya nchi nzima yako palepale. Kitu pekee kitakachositisha maandamano haya ni serikali kusitisha mkataba huu mbovu wa bandari kati ya nchi yetu na DP World ya Dubai. Kwenye hili sisi tuko tayari kunyongwa, kwanza kunyongwa kwa ajili ya kupigania rasilimali za nchi hii ni fursa tunayoitaka hata kesho. Hatumuogopi yoyote isipokuwa Mungu muumbaji wa mbinguni.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ