Tulikosea mno: BRT Phase 2 & 3 ilipaswa yawe Mabasi ya Umeme

Nodus

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
398
Reaction score
1,105
Hii miscalculation kubwa sana iliofanyika.

Electric buses ndizo zipo sustainable zaidi na hazihitaji maintainance kubwa.

Nchi yeyote inaweza kuzalisha Umeme lakini si kila nchi inazalisha mafuta

Electrification ya Phase ya pili na ya tatu ya BRT ingeweka stability ya bei za usafiri kwa miaka mingi ijayo.

Sasa hivi kila mmarekani akikohoa manzese nauli zinapanda. Wasimamizi wa mradi huu wekeni sera ya kufanya basi zinazokuja zote ziwe electrified.

Mna uwanja mkubwa wa kupaki magari yenu, mkiweka solar panel pale na ESS (Energy storage system) ya hata 3Mwh basi - Investment ya kama bilioni 3 kwenye kila yard tu basi mna umeme wa bure kwa miaka 20 ijayo ya kucharge hayo mabasi ambayo ni ndogo kuliko mnachotumia kwenye gesi na mafuta kwa miezi 6.

Mnaohusika na hii miradi angalieni demand ya mbele sio tu leo na kesho.

Fikirieni kuwa kuna nchi zinaweza kuamua tu kesho tukawekewa sanctions basi na mafuta yote bye bye. Mnapodesign miradi fikiria leo hii hali ikigeuka mradi bado utaendelea.

Cha kushangaza Zanzibar waliusoma mchezo mapema wameanza straight na basi za umeme

Ni hayo tu
 
Una hoja ila.siyo.kwa umeme wa nchi ya Malawi
 
Back
Top Bottom