Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hii nchi ingekuwa inaongozwa na Lowasa tungekuwa mbali sana .
Cha ajabu Lowasa tumemkataa mpaka anaingia kaburini.
Dhahabu nyingine tuliyo nayo ni Mh Tundu Antpas Lissu , hii ni tunu tuliyo nayo , cha ajabu tunashindwa kuitumia.
Mungu ampe wepesi Lissu kwa kila analolipitia na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu atupe neema siku moja nchi iongozwe na msomi Tundu Lissu.
Madumbao watuachie nchi yetu.