Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Shule ya msingi alisoma Muungano ipo temeke karibu na msikiti wa tungi, shule ya sekondari alisoma Tandika na kumaliza mwaka 2011.
Aliyekwambia alisoma tandale amekuongopea.
Sio nchi dunia nzima.Hizi nchi zetu kupiga hatua ni ngumu mno cause tuna watukuza "vilaza"
Na kupuuza mambo ya msingi
Huyo dem kugongwa na Rick Ross imekuwa habari nchi nzima
Trump alikua sahihi, shit-hole countries
Analeta fedha za kigeni😂Kafanya innovation gani so far?
Yaani umekomeeeesha ahaaaaa! Anaingiza dolali tz, akiwatumia wadogoze.Analeta fedha za kigeni😂
Analeta fedha za kigeni nchini. Pesa hizo akija nazo bongo afanya matumizi mbalimbali hivyo kuogeza mzunguko wa fedha na kodi. Kitaalam inaitwa multiplier effect. Ni kama foreign exchange flani hivi.Yaani umekomeeeesha ahaaaaa! Anaingiza dolali tz, akiwatumia wadogoze.
Na huoni kama ni akili ya ziada inahitajika kutumia papuchi kimataifa?Uyu binti akili zake zote zimeamia kwenye papuchi , anawaza, anakula ,ananusa, anasikia anaongea na anahisi kwa kutumia papuchi .papuchi yake ndo kila kitu kwake,
Irene uyiya alivyokuwa anagongwa na vitoto wakamshutua akahamia kwa vizee angalau kwa sasa anamiliki pesa. Huyu misa ashamjengea mamake, papuch inaingiza fedha za kigeni uenda anarudi na kadraca kama ya mondo mmewe wa zamanAnaleta fedha za kigeni nchini. Pesa hizo akija nazo bongo afanya matumizi mbalimbali hivyo kuogeza mzunguko wa fedha na kodi. Kitaalam inaitwa multiplier effect. Ni kama foreign exchange flani hivi.
Mkuu tatizo ukosefu wa kazi vichwa viko empty zaidi ya trick za kubet hakuna kingine atakosa kuweka kumbukumbu za kipumbavu kama hizi?Hata hivyo, huyo dada kusoma Temeke na sio Tandiko, siyo Fact yenye faida yoyote mpaka umkosoe.Hata angesema kasoma Kilwa kivinje who cares?
Huyo mobetto ana faida gani, mpaka tu fact-checking historia yake
Halafu hizo useless data mpaka shule ya msingi aliyosoma umezishika za nini?
Pole sana, kwa mtegesheo wa Mimba. Hata Ric Rose kwa Hamisa hajapona, anajodai anatumia kinga, anaweza kuchukua ndomu ikatunzwa kwenye kifa maalum siku yuko kwenye siku mbaya anatumbukiza yale nani anapata mimba ya kimarekani, kesho wanadai child support. Watz mashaidi maana picha za tarehe tunazo. Hapo mamilion yanamwagwa tz kwa hela za kidololaliichi kibinti huwa sikipendi balaa kwasababu kinafanana na X wangu aliyetaka hadi kuvunja ndoa yangu, ana sura kama hiyo akili kichwani hamna kam ahuyu anawaza tu ngono na pesa kazi hafanyi, hadi alinitegeshea mimba nalea mtoto hadi leo. Mungu anisamehe nisimchukie lakini nikimwona tu huwa naona dalili zote za x wangu zinaonekana kwake.
Kaz kweli kweliHizi nchi zetu kupiga hatua ni ngumu mno cause tuna watukuza "vilaza"
Na kupuuza mambo ya msingi
Huyo dem kugongwa na Rick Ross imekuwa habari nchi nzima
Trump alikua sahihi, shit-hole countries
Hippopotmus
Ndio nani?Wana JF
Napenda kuona mpambanaji HM anavyochanja mbuga kuliko watoto wa ushuani, mtoto huyu kipindi cha nyuma alipotoka shule zote Saint Kayumba Tandika Sekondary. Ona sasa anavyoizingua dunia, kupata mchumba mwenye hadhi duniani sio mchezo.
View attachment 2024838
View attachment 2024840
View attachment 2025080
View attachment 2025081
Yeye yule yule utakayemjua mkijuanaNdio nani?