GE2025 Tulikuwa gizani, hatukujua Mpina ndio kete ya ushindi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mawazo yako, wakati wa Magu alifanya nini, kupima urefu wa samaki? Nyie vijana mnataka tu watu wa kuburudisha kwa mipasho na rap, mkiulizwa ht hamjui mnataka nini. Samia kwa mambo aliyoyafanya kwa muda mfupi anatokea mtu km ww? We hujitambui
SSH hatufai tushamchoka tayari aliyoyafanya hata tungekupatia urais ww apo kwa madudu yalivyo nchini ungefanya tu! Hana cha kujivunia
 
Iko siku tutapata kiongozi kichaa kwa atayetokana na falsafa ya bora tukose wote
 
Sio kwa tume hii, utapeli aliikuja nao Lowassa dakika za jioni ulituamsha pakubwa.
 
Bila Reforms, uchaguzi UTAYEYUKA.

Usipoteze muda wako bure
Mpina ni plan B km reforms zikashindikana kitu ambacho uwezekano wa kutokea ni mkubwa, ssh hatufai
 
Mpina ni plan B km reforms zikashindikana kitu ambacho uwezekano wa kutokea ni mkubwa, ssh hatufai
Plan A,B,C....Z ni moja tu.

Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi.

No way out.

NRNE 💪 🔥
 
Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako. #WananchiWenyeNchi #NguvuYaUmma #KataaWahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…