GE2025 Tulikuwa gizani, hatukujua Mpina ndio kete ya ushindi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watanganyika tunamsubiri Mh. Tundu Lissu tu atoke gerezani baada ya kuwagaragaza wanasheria uchwara wa serikali, halafu aje mtaani alianzishe dude. Huyu tuna imani naye. Na siyo Luhaga Mpina au Zitto Kabwe.
Point sana.

Doing the same thing the very same way while expecting change, is what has been unanimously termed insanity.
 
Plan A,B,C....Z ni moja tu.

Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi.

No way out.

NRNE 💪 🔥
Ikifeli je? Mtasusa!! Na hata mkisusa haitasaidia kitu

#Mpina💪2025
 
 
Uwe unaelewa,

Bila Reforms uchaguzi UTAYEYUKA,hautafanyika.

Kususa waachie dada zako, SI ktk issues za nchi

NRNE 💪 🔥
Ss tutakuwepo km utafanyika mapema kabisa kura yangu itaenda kwa Mpina

#Mpina💪2025
 
hayo ni maigizo,

Lissu ndiye mpinzani wa kweli. Mpina ni clue!
Sawa! Akiendelea kushikiliwa na watawala Mpina atatufaa na ataongeza hamasa wakati wa kampeni!!

#Mpina💪2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…