Tulilia sana siku ile kiukweli

Tulilia sana siku ile kiukweli

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Dah nimewakumbuka washkaji zangu tuliozaliwa siku moja pale hospital siku ile dah

Yaani tulilia kinoma siku ile,kila wakitunyamazisha..ah wapi hatutaki..tunalia tu tena bila sababu

Wakitunyonyesha aah wapi hatuachi kulia...yaan nakumbuka mm mpaka nilipaliwa.. Dah

Sijui sku hizi wako wapi washkaji .....
tulizingua kinoma..hahah..
 
Wakitunyonyesha aah wapi hatuachi kulia...yaan nakumbuka mm mpaka nilipaliwa..
Dah

Hahahaha bujibuji
 
Dah nimewakumbuka washkaji zangu tuliozaliwa siku moja pale hospital siku ile dah

Yaani tulilia kinoma siku ile,kila wakitunyamazisha..ah wapi hatutaki..tunalia tu tena bila sababu

Wakitunyonyesha aah wapi hatuachi kulia...yaan nakumbuka mm mpaka nilipaliwa.. Dah

Sijui sku hizi wako wapi washkaji .....
tulizingua kinoma..hahah..
Ahaaaa,nimekumbuka ndio dingi wako akaja ananuka fegi tukanyamaza wote
 
Kuna yule wa kike pembeni yangu alikuwa analia huku anajamba Jamba, cjui sa hv kaolewa au vp
 
Back
Top Bottom