Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Dah nimewakumbuka washkaji zangu tuliozaliwa siku moja pale hospital siku ile dah
Yaani tulilia kinoma siku ile,kila wakitunyamazisha..ah wapi hatutaki..tunalia tu tena bila sababu
Wakitunyonyesha aah wapi hatuachi kulia...yaan nakumbuka mm mpaka nilipaliwa.. Dah
Sijui sku hizi wako wapi washkaji .....
tulizingua kinoma..hahah..