Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Waje kufanya nn tena jamanHivi kuna madokta wa akili humu JF kweli, njoeni huku!???
Kwani humwoni mwenzetu anaandika kutoka kulia kwenda kushoto as if ni Mwarabu, au na wewe uko naye chuo kimoja!???Waje kufanya nn tena jaman
Dah nimewakumbuka washkaji zangu tuliozaliwa siku moja pale hospital siku ile dah
Yaani tulilia kinoma siku ile,kila wakitunyamazisha..ah wapi hatutaki..tunalia tu tena bila sababu
Wakitunyonyesha aah wapi hatuachi kulia...yaan nakumbuka mm mpaka nilipaliwa..
Dah
Sijui sku hizi wako wapi washkaji .....
tulizingua kinoma..hahah..
Hahahaha bujibujiDah nimewakumbuka washkaji zangu tuliozaliwa siku moja pale hospital siku ile dah
Yaani tulilia kinoma siku ile,kila wakitunyamazisha..ah wapi hatutaki..tunalia tu tena bila sababu
Wakitunyonyesha aah wapi hatuachi kulia...yaan nakumbuka mm mpaka nilipaliwa..
Dah
Sijui sku hizi wako wapi washkaji .....
tulizingua kinoma..hahah..
Ahaaaa,nimekumbuka ndio dingi wako akaja ananuka fegi tukanyamaza woteDah nimewakumbuka washkaji zangu tuliozaliwa siku moja pale hospital siku ile dah
Yaani tulilia kinoma siku ile,kila wakitunyamazisha..ah wapi hatutaki..tunalia tu tena bila sababu
Wakitunyonyesha aah wapi hatuachi kulia...yaan nakumbuka mm mpaka nilipaliwa.. Dah
Sijui sku hizi wako wapi washkaji .....
tulizingua kinoma..hahah..
Atakusikia mkuu..yupo humu humu jfKuna yule wa kike pembeni yangu alikuwa analia huku anajamba Jamba, cjui sa hv kaolewa au vp
aiseeeAhaaaa,nimekumbuka ndio dingi wako akaja ananuka fegi tukanyamaza wote