Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwa hiyo kusema kweli nimekuwa Sukuma gang?Usichanganye cdm na nyie sukuma gang.
Mwanzilishi wa Mikataba ya hovyo ni Magufuri baada ya kuwakataa wapinzani kwenye serikali yake matokeo yake ndiyo haya unayoyaona leo,hakuna mwanadamu aliyekamilika.Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Usichanganye cdm na nyie sukuma gang.
Ndugu zanuni.....Miliwapa silaha Maharamia na Mamluki kutumia fursa za Utengano uliotokea. Mkubali wametumia Udhaifu huo kutuletea madudu haya. Msiendeleze Siasa zenu za Chuki....Umoja wetu unahitajika katika suala hili. Hatuna pa kukimbikia, wenzetu wanaeza enda Kisiwani, Omani au Dubai.KAMFUFUENI, DR SAMIAH SONGA MBERE!
Hapana Hapana Hapana.Kwa hiyo kusema kweli nimekuwa Sukuma gang?
Hawa wajanja waliopo madarakani leo aliwaweka Mbowe pumbavu?Huo si uzao wa mwendazake?Kwenye Serikali hiyo umemwona LISSU,ZITO KABWE,JOHN HECHE,EZEKIEL WENJE,MNYIKA,SUGU,MSIGWA,HAULE,SALUM MWALIMU,MBOWE,LEMA,MWAIPAYA,MDUDE je wana vyeo gani kwenye Serikali hiyo ya Magufuri?Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Kwa hiyo kusema kweli nimekuwa Sukuma gang?

Vigogo wa CCM waliowekwa na Magufuri kwa mtutu wa bunduki.Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Kamanda mwenzangu una matatizo. Tuwe tunakubali ukweliKwani ww ni lazima useme, ww unaeleweka. Yaani shetani awe sahihi kisa binadamu anakosea?
Vision ya kuuza nchi kwa Waarabu Dubai ni vision?Magu alikuwa Rais mzuri na mwenye vision kwa kiasi fulani kosa alilolifanya ni kuminya haki na uhuru wa watu ikiwa ni pamoja na kuteua baadhi ya wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ambao walikuwa wanafanya kazi kama viongozi wa genge la mamafia
Hayo maneno yako hayasaidi. Unapindisha sana. Punguza Ugaiidi na ujikite kwenye hoja. Mada hii ina ukweli 100% kubali and lets move on ...kwa Usalama wa Nchi hii. Nakuhakikishia hamusaidii Chadema. hamusaidii Nchi, badalabyake mnazorotesha juhudi za Watanzania kupinga Ukoloni mamboleo.Mwanzilishi wa Mikataba ya hovyo ni Magufuri baada ya kuwakataa wapinzani kwenye serikali yake matokeo yake ndiyo haya unayoyaona leo,hakuna mwanadamu aliyekamilika.