Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Muuaji hawezi kuoshwa dhambi zake hata akigawa nyumba kwa kila Mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je unafahamu Meli kuwa zimejipanga foleni kusubiri kuingia bandarini, kuna vigogo wanatajirika kupindukia?, je unajua yule maah kimbelembele naye yupo kwenye mgawo, je wajua hawapendi hili litokee!, yule ni kiongozi wa beneficiary, kupiga kelele ilitegemewa, ndio maana jemedari wetu yupo kimyaaa!Ndugu zanuni.....Miliwapa silaha Maharamia na Mamluki kutumia fursa za Utengano uliotokea. Mkubali wametumia Udhaifu huo kutuletea madudu haya. Msiendeleze Siasa zenu za Chuki....Umoja wetu unahitajika katika suala hili. Hatuna pa kukimbikia, wenzetu wanaeza enda Kisiwani, Omani au Dubai.
A Spade is a Spade.
Tafuteni amani kwa sasa.
Waliokua wanampiga ndio waliopo juu kwa sasa mission town zilizimwa. ..tiss walikua kazini kweli...nawalimsaidia sn...sema kulikua na mission behind a scene iliotengenezwa baada yamtangulizi kushindwa muweka mwanamke awe namba 1..baada ya pale ikaundwa mission yakutimiza ndoto yake. ..ndio hii sasa tunayoona sasaTuliokuwa tukiona kama alivyokuwa akiona JPM juu ya nchi yetu, kwa uwingi wetu tulimuunga mkono
This is too low to be called short sighted analysis. Mwasisi wa yanayoendelea sasa hivi ni Magufuli. Angeachia uchaguzi ukafanyika kwa uhuru angalau kwenye level ya ubunge basi tungekuwa na wabunge ambao wangesaidia. Pia alikataa mipango ya katiba mpya bila kujua/kujali concequences zake. Samia alikuwa anajulikana kabisa uwezo wake ni mdogo na ni loyal kwa wapiga deal hivyo likitokea la kutokea nchi itaingia kwenye crisis ya uongozi na ufisadi.Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Shetani kaokoka,kama Mbwai,Mbwai tu!Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Adui wako sio Magufuli.....Amekufa na Amezikwa. Adui wako yupo anapiga hodi kuja kuwafeera..Je unafahamu Meli kuwa zimejipanga foleni kusubiri kuingia bandarini, kuna vigogo wanatajirika kupindukia?, je unajua yule maah kimbelembele naye yupo kwenye mgawo, je wajua hawapendi hili litokee!, yule ni kiongozi wa beneficiary, kupiga kelele ilitegemewa, ndio maana jemedari wetu yupo kimyaaa!
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Magufuli alitengeneza wajinga na misukule mingi. Tusipowakemea tunatengeneza Taifa la wajinga. Kuna akina Prof Kabudi, Aggrey Mwanri, Sheikh Alhad wa Bakwata waliwahi kusema Magufuli ni kama Mungu au ni maarufu kuliko Yesu na Muhammad!!Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro...
Uko sawa wewe unajadili personality mimi najadili mfumo(System) ndiyo maana unaona kama napindisha lakini nakuambia tatizo ni mfumo tulionao ambao unaamini kuwa bila CCM Tanzania haiwezi songa.Hayo maneno yako hayasaidi. Unapindisha sana. Punguza Ugaiidi na ujikite kwenye hoja. Mada hii ina ukweli 100% kubali and lets move on ...kwa Usalama wa Nchi hii. Nakuhakikishia hamusaidii Chadema. hamusaidii Nchi, badalabyake mnazorotesha juhudi za Watanzania kupinga Ukoloni mamboleo.
Amani
Majibu ya kijinga sana,nani hatakufa? Acha kiburi cha uzima.KAMFUFUENI, DR SAMIAH SONGA MBERE!
Great thinkers huangalia channel huwa hawaangalii current situation,nashukuru sana kwa ufafanuzi mzuri.This is too low to be called short sighted analysis. Mwasisi wa yanayoendelea sasa hivi ni Magufuli. Angeachia uchaguzi ukafanyika kwa uhuru angalau kwenye level ya ubunge basi tungekuwa na wabunge ambao wangesaidia. Pia alikataa mipango ya katiba mpya bila kujua/kujali concequences zake. Samia alikuwa anajulikana kabisa uwezo wake ni mdogo na ni loyal kwa wapiga deal hivyo likitokea la kutokea nchi itaingia kwenye crisis ya uongozi na ufisadi.
Ukweli utabaki pale pale Adui mkubwa ni Magufuri.Adui wako sio Magufuli.....Amekufa na Amezikwa. Adui wako yupo anapiga hodi kuja kuwafeera..
Yupo kimya kwa sababu hakuna anayesimama naye wakati anajaribu kerekebisha yale mliokuwa mnamwambia afanye...amekwama mnataka afanye nini? She has secured her way in or out! Inawasaidia nini? Kuendeleza Vinyongo vyenu? Honestly ni kitu gani kwa kipimo chako kimetokea Tanzania? Mbowe kula Asali? Be serious man
Grow up!
Kwangu adui namba moja wa taifa hili ni genge linaloitwa CCM. Katika awamu yake Magufuli kama Rais, alikuwa pia ndiye kiongozi mkuu wa hilo genge. Alifanya jitihada kubwa kuhakikisha kwamba anaua demokrasia ndani ya taifa hili na matunda ya hizo jitihada ni hili bunge la wasaliti.Adui wako sio Magufuli.....
Ni kweli amekufa na kuzikwa lakini katuachia balaa mbili; kwanza mrithi wake ni yule yule aliyekuwa msaidizi wake waliyeshirikiana pamoja katika jitihada za kuua hoja mbadala. Pili, matunda ya jitihada zao hizo ni bunge hili lililojaa genge la walafi lisilo na huruma na rasilimali za Watanganyika.Amekufa na Amezikwa.
Hapo umepatia, kazi iendelee na kweli kazi inaendelea kwa kasi na matunda yake tunayashuhudia. Malengo kuu ni yale yale ila namna ndiyo iimebadilika. Wafaidika wa wizi na ufisadi pia wamebadilika. Badala ya watu kama Makonda and the gang sasa tunao waarabu wa Dubai...Adui wako yupo anapiga hodi kuja kuwafeera..
Tundu lisu mwenyewe kasema Magufuli hahusiki kwenye mikataba mibovu wewe unatuletea uharo mitandaoniMwanzilishi wa Mikataba ya hovyo ni Magufuri baada ya kuwakataa wapinzani kwenye serikali yake matokeo yake ndiyo haya unayoyaona leo,hakuna mwanadamu aliyekamilika.