SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Upande wangu jpm hakustaili kuwa rais wa nchi kwa sababu maovu aliyokuwa nayoUkweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Maovu gani JPM aliyoyafanya unaweza kutuwekea ushahidi hayo maovuUpande wangu jpm hakustaili kuwa rais wa nchi kwa sababu maovu aliyokuwa nayo
UNAMTWANGA MBUNGE MARISASI HALAFU UNAQMRISHA ASIPATIWE HUDUMA WA ASIPEWE HATA SENTI TANO, DUNIA INA VIUMBE KATILI KUPITILIZA!Kwa hiyo lissu kufumuliwa mwili wake kwa risasi ilikuwa sahihi? Acha kuharisha kwa kutumia vidole.
Kaenda kutakwenda, alibinya haki za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtanikumbuka [emoji2956]
"Sisi sababu tulishazoea janja janja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani"R.i.p Magufuli
Kuwa specific hapo yanawaumiza wananchi unataka kusema maisha yetu yalikuwa bora kuliko sasa? kuwa specific ni wapi tulikuwa na maisha bora na wapi tumeshuka tusiweke statement za kijumla. Katika kila utawala kuna wanufaika na kuhasarika lakini weka wazi mwananchi wa kawaida tu ni lini alikuwa na maisha bora?Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro...
Alikua anaongoza nchi kama criminal organizationMagu alikuwa Rais mzuri na mwenye vision kwa kiasi fulani kosa alilolifanya ni kuminya haki na uhuru wa watu ikiwa ni pamoja na kuteua baadhi ya wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ambao walikuwa wanafanya kazi kama viongozi wa genge la mamafia
Yaani we unaona Mshenzi yule alikuwa sahihi kutuletea aina ya wabunge hawa!Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Rest in Jahannam MagufuliR.i.p Magufuli
Mchukueni Gwajima mwende mkamfufueMagufuli alituchapa viboko tukiwa ndani ya ardhi yetu kwa muda, huyu wa sasa ametuletea nyapara wajomba zake toka Arabuni waje kutuchapa viboko ndani ya ardhi yetu milele.
Kwa hali hii kumkumbuka Magufuli ni haki.
Waabudu mizimuTuliokuwa tukiona kama alivyokuwa akiona JPM juu ya nchi yetu, kwa uwingi wetu tulimuunga mkono
Ni swala la muda tu hata wewe utaikumbuka mizimu ya wazazi wako au wewe mwenyewe kifo hakuumbiwa Magufuli pekee yake maana vyeti feki na walamba asali na mafisadi mmefurahishwa na kifo cha MagufuliWaabudu mizimu
Nyumbu mfata mkumbo. Hiyo nchi iliyo uzwa ni ipi? Na imeuzwa kwa shilingi ngapi? Nchi siyo nyanya au bamia iuzwe.Vision ya kuuza nchi kwa Waarabu Dubai ni vision?
Yaani ilitegemea Mtu anyang'anye watu uhai halafu apendwe Kwa Hilo? Magufuli alikuwa na mazuri yake na Mbowe amekuwa amiyasema mara Kwa mara na hata Lissu kayarudia. Lakini aliporuhusu watu wasio na hatia kuuliwa Kwa kisingizio cha kutofautiana misimamo alijitengenezea chuki mwenyewe.Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Unaweza kuwataja hao walionyang'anywa uhai na Magufuli na ni wangapi wameuawa na tawala zilizopita mbona hauongei hivi na ukiwataja weka ushahidi Magufuli alihusika vifo vyao sio unaongea unafiki na propaganda zenye influence za chuki wewe sema unachomchukia Magufuli kama alikutumbua vyeti feki usidanganye watu mambo ya uhai hakuna ushahidi Magufuli aliua mtu mlitumia hii propaganda kumchafua kisiasa nyie vyeti feki na mafisadi na walamba asaliYaani ilitegemea Mtu anyang'anye watu uhai halafu apendwe Kwa Hilo? Magufuli alikuwa na mazuri yake na Mbowe amekuwa amiyasema mara Kwa mara na hata Lissu kayarudia. Lakini aliporuhusu watu wasio na hatia kuuliwa Kwa kisingizio cha kutofautiana misimamo alijitengenezea chuki mwenyewe.
Tunakumbuka lawama za Watanzania dhidi ya madaktari wakati mgomo wao kipindi cha Kikwete, lakini aliporuhusu kutekwa mateso dhidi ya Dr Ulimboka watu wakamchukia yeye.