THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Hapana, Magufuli tulimchukia Sana kwa sababu za msingi na sababu kubwa za kumchukia Magufuli ni kuendesha nchi kama kampuni ya mama yake, kuunda vikosi vya kiharamia kuumiza watu, kusigina katiba na haki za BinAdamu!Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Pokea maua yako Mkuu.Hapana, Magufuli tulimchukia Sana kwa sababu za msingi na sababu kubwa za kumchukia Magufuli ni kuendesha nchi kama kampuni ya mama yake, kuunda vikosi vya kiharamia kuumiza watu, kusigina katiba na haki za BinAdamu!
Ushenzi unaofanyika sasa hivi hauwezi kuwa sababu ya kumsafisha Magufuli hata kidogo!
Kila awamu ibebe kiroba Cha dhambi zake! [emoji3525]
Sijawahi kuwa Mtumishi wa Serikali,Unaweza kuwataja hao walionyang'anywa uhai na Magufuli na ni wangapi wameuawa na tawala zilizopita mbona hauongei hivi na ukiwataja weka ushahidi Magufuli alihusika vifo vyao sio unaongea unafiki na propaganda zenye influence za chuki wewe sema unachomchukia Magufuli kama alikutumbua vyeti feki usidanganye watu mambo ya uhai hakuna ushahidi Magufuli aliua mtu mlitumia hii propaganda kumchafua kisiasa nyie vyeti feki na mafisadi na walamba asali
Basi utakuwa mkwepa kodi au mdhulumaji au mshabiki mfata mkumbo wa wachumia tumboSijawahi kuwa Mtumishi wa Serikali,
Niko Sekta binafsi ambako nalipwa vizuri,
Naendesha shughuli zangu binafsi za kibiashara zinazoniingizia kipato cha kunitosha na familia yangu na hivyo sitegemei mwisho wa mwezi Hazina wameweka nini.
Au sio... Ungekuwa wewe basiUpande wangu jpm hakustaili kuwa rais wa nchi kwa sababu maovu aliyokuwa nayo
Na kweli hakustahili kuwa Rais kwa mujibu wa mafisadi na walamba asali na vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumajiAu sio... Ungekuwa wewe basi
Je ni kwa nini enzi za Magufuri kupitia chama chako cha Mapinduzi ukabila na ukanda vilizaliwa?Je kwa nini leo katika utawala wa Mama Samiah kupitia chama chako cha Mapinduzi udini umezaliwa?Inapendeza mtu kufikiri fikra sahihi za ubongo wake mwenyewe na siyo Sera za Zidumu Fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM.Ambapo leo tunalalamika kutokana na sera hiyo mbovu.Isingekuwa hiyo sera mbovu chama chako kingetenda kwa werevu na maarifa ya hali ya juu.Sasa hizo fikira sahihi za kipumbavu zinaligawanya Taifa.Wewe ni mamluki, mwenye akili ya kupandikizwa...Sijasema popote pale Hayati Magufuli asafishwe ndio nione CHADEMA ni chama halali, isitoshe sijasema popote au kwa kuaminisha au kuashiria kuwa CHADEMA sio chama halali.
Usijaribu kujificha kwenye chaka lako la uongo kuhalalisha kwa nini unaniparamia na matusi yako na matusi dhidi ya CCM....na Watanzania kwa ujumla.
Kwa kifupi hujitambui ni kwanini unapandikiza maneno potofu na unakinzana na CHADEMA, huku ukiaminisha umma kuwa wewe ni CHADEMA isitoshe Wananchi walikuwa hawahitaji mada hii au uzi huu kuelewa Msimamo wa CHADEMA kuhusu suala hili....Kwamba Hayati Magufuli hahusiki na Mkataba huo wa Hovyo na wala Asingeridhia,au Kuukubali Bandari ibinafsishwe kwa Mabeberu.
Vilevile, ni kuwa, katika suala hili linalohitaji mshikamano na mshikamano thabiti wa Watanzania wawe wanatoa maneno ya kuzodoa , kukubehi, na kubeza kama wewe na genge lako mnavyofanya. Yaani ni dhahiri hauko hapa kwa masilahi ya Mtanzania kama unavyotaka kuaminisha, kwani ungesha elewa kuwa alilosema Lissu aliyemiminiwa Risasi lukuki lina mshiko kuliko maneno yako na genge lako yaliyojikita kutafuta kila mwanya unaotokea, kuenda kutafuta kila sababu kujaribu kuwatenganisha Watanzania walioshikamana! Tambua hilo.
Mtashindwa na mlegee
Hawatawahi pata mtumishi au kiongozi wa Serikali mpaka mwisho wa dunia kwa sababu tu hawana Refarii na wataendelea kuimba ccm mbele kwa mbele huku wakitarajia muda wa kampeni wapewe kofia,T shirt na Kanga pamoja na pombe ya kienyeji.Ewe mwanadamu punguza upumbavu.Wewe ni mamluki, mwenye akili ya kupandikizwa...Sijasema popote pale Hayati Magufuli asafishwe ndio nione CHADEMA ni chama halali, isitoshe sijasema popote au kwa kuaminisha au kuashiria kuwa CHADEMA sio chama halali.
Usijaribu kujificha kwenye chaka lako la uongo kuhalalisha kwa nini unaniparamia na matusi yako na matusi dhidi ya CCM....na Watanzania kwa ujumla.
Kwa kifupi hujitambui ni kwanini unapandikiza maneno potofu na unakinzana na CHADEMA, huku ukiaminisha umma kuwa wewe ni CHADEMA isitoshe Wananchi walikuwa hawahitaji mada hii au uzi huu kuelewa Msimamo wa CHADEMA kuhusu suala hili....Kwamba Hayati Magufuli hahusiki na Mkataba huo wa Hovyo na wala Asingeridhia,au Kuukubali Bandari ibinafsishwe kwa Mabeberu.
Vilevile, ni kuwa, katika suala hili linalohitaji mshikamano na mshikamano thabiti wa Watanzania wawe wanatoa maneno ya kuzodoa , kukubehi, na kubeza kama wewe na genge lako mnavyofanya. Yaani ni dhahiri hauko hapa kwa masilahi ya Mtanzania kama unavyotaka kuaminisha, kwani ungesha elewa kuwa alilosema Lissu aliyemiminiwa Risasi lukuki lina mshiko kuliko maneno yako na genge lako yaliyojikita kutafuta kila mwanya unaotokea, kuenda kutafuta kila sababu kujaribu kuwatenganisha Watanzania walioshikamana! Tambua hilo.
Mtashindwa na mlegee
Heko ndugu yangu Mtanzania ila Ukabila mnaupenda sana,Mimi nikuambie hata siku moja siwezi kuwa mfuasi wa Waarabu kwa sababu wao katika maisha yao wanaamini Mwafrika ni kafiri.Narudia, mmepata mwanya wa kuendeleza yale yaliyowaleta hapa, nayo ni likitokeapo mwanya wa kuzodoa kubeza kukejeli na kudhalilisha Jamii ya Mtanzania, mnafanya hivyo! Ni dhahiri mashambulio yenu ni kwa wale wanaotafuta suluhisho la umoja na mshikamano wa Watanzania. Ukijisoma hapa utaona Umejikita kubeza Jamii na kabila la Wasukuma kwa lengo la kupandikiza siasa za utenganishi na ubaguzi. Umejikita kwenye Uchonganishi. Itoshe kusema, upo hapa kuwashangilia Waarabu! Mtashindwa na mlegeee
Bora aliyejenga Uwanja wa Ndege Chato kwa sababu Chato ni Tanzania kuliko aliyeuza nchi Falme za Kiarabu.Nyumbu mfata mkumbo. Hiyo nchi iliyo uzwa ni ipi? Na imeuzwa kwa shilingi ngapi? Nchi siyo nyanya au bamia iuzwe.
Hivi leo mmesahau ya Ben saanane, Lisu kupigwa risasi, watu kuokotwa kwenye viroba,
uwanja wa ndege chato, mtu mmoja kufanya manunuzi ya ndege.
Kweli kabisaBora aliyejenga Uwanja wa Ndege Chato kwa sababu Chato ni Tanzania kuliko aliyeuza nchi Falme za Kiarabu.
Ni kweli .. na siku zote mijitu miovu huwa ina kelele nyingi sana ikibanwaga mbavuNa kweli hakustahili kuwa Rais kwa mujibu wa mafisadi na walamba asali na vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji
Nyumbu katika ubora wako.Bora aliyejenga Uwanja wa Ndege Chato kwa sababu Chato ni Tanzania kuliko aliyeuza nchi Falme za Kiarabu.
Kila mmoja ana mazuri yake na mapungufu yake.Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Toa hoja.... Acha kubabaikaNyumbu katika ubora wako.
Hoja gani bibie?Toa hoja.... Acha kubabaika
Mungu akubariki.Nyumbu katika ubora wako.