Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Wakuu baadaye hatuzitaki kauli hizi humu, wanajifahamu wenyewe, ooh ball passesion tuliwakamata, ingeongezwa dk 5 tu tulikuwa tunawakalisha.
Hizi kauli msizilete humu,ukipigwa umepigwa hata possession ingekuwa 0.9% kwa 99.1%. ukipigwa tulia kaa pembeni jitafakari sio kelele, hii siyo shirikisho tulia kama unanyolewa.