Kabisa, muhimu ni kupata point 3 hayo mengine ni ziada tu.Wakuu baadaye hatuzitaki kauli hizi humu, wanajifahamu wenyewe, ooh ball passesion tuliwakamata, ingeongezwa dk 5 tu tulikuwa tunawakalisha.
Hizi kauli msizilete humu,ukipigwa umepigwa hata possession ingekuwa 0.9% kwa 99.1%. ukipigwa tulia kaa pembeni jitafakari sio kelele, hii siyo shirikisho tulia kama unanyolewa.
Nimezungumzia timu zote mbona unakuwa biased au mnajishtukiaNa kwenye mechi yenu kutakuwa na kauli zipi?
Maanake unavyo iandama Yanga utazani wewe leo uchezi au ndio tayari ushakubali leo unapigwa.
Wapi nimetaja YangaUnaangaika na Yanga kupitiliza, timu yenu ya Simba haishiriki mashindano?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Nani yupo biased ushaniona mimi nimefungua uzi kuhusiana na timu yako au Yanga.
Acha presha ,tafuta kwanza supuNani yupo biased ushaniona mimi nimefungua uzi kuhusiana na timu yako au Yanga.
Wewe ndiye unaye jishtukia unazani leo utapata faraja pale taifa,mpaka unaisahau timu yako, yani unachambua mechi ya Yanga week nzima thread kibao.Utazani ww uchezi leo ndio maana nikakuuliza au unajua leo unapigwa Botswana.
Mimi na ww nani anapresha unafungua mithread kibao kwa timu isiyo kuhusu.Mpaka hapo inaonyesha huiamini timu yako.
Tunge furahi ukipost clip,ili baada ya mechi kuisha ili shabiki wa Yanga aliye karibu aje kushuhudia ukinya na kuchukua hayo mavi.Yanga wakishinda ntakunya
Pia kuanzia saa 12 jioni ya leo hatutaki kusikia zile kelele zetu za kila siku za kumkataa mwekezaji, Mwenyekiti, na baadhi ya wachezaji wetu wazee.Wakuu baadaye hatuzitaki kauli hizi humu, wanajifahamu wenyewe, ooh ball passesion tuliwakamata, ingeongezwa dk 5 tu tulikuwa tunawakalisha.
Hizi kauli msizilete humu,ukipigwa umepigwa hata possession ingekuwa 0.9% kwa 99.1%. ukipigwa tulia kaa pembeni jitafakari sio kelele, hii siyo shirikisho tulia kama unanyolewa.
Usikariri kama watoto wa chekecheaWakuu baadaye hatuzitaki kauli hizi humu, wanajifahamu wenyewe, ooh ball passesion tuliwakamata, ingeongezwa dk 5 tu tulikuwa tunawakalisha.
Hizi kauli msizilete humu,ukipigwa umepigwa hata possession ingekuwa 0.9% kwa 99.1%. ukipigwa tulia kaa pembeni jitafakari sio kelele, hii siyo shirikisho tulia kama unanyolewa.
Nitakusaidia kwa hili... tutakunya woteYanga wakishinda ntakunya
Ndio na wakashinda 3-1.Hivi jana Al hilal walichezea kwa mkapa?