mandawa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 772
- 1,119
Nakupa hongera na kaka yako kwa ujasiri ila ukweli ni kama una mwamini Mungu wa Yesu Kristo na bado hujatubu kwa kitendo cha kumpigia hadi Kufa kwa mwizi, nakusihi utubu maana sisi tumeamriwa kutokuhukumu, sasa nyie mmejifanya majaji na kuhudumu kwa sheria yenu... Sio ya Mungu wala Jamhuri ya Muungano.. Kimsingi hamna haki ya kufanya mlilifanya... Iliwapasa mumpeleke polisi sio kumtaabisha... Nakushauri tu maana usipotubu hiyo laana lazima ikurudie wewe au kikazi chako...Miaka ya 2005 wizi wa kutumia silaha za jadi ulikithiri sana Dodoma. Katika kijiji tulichokuwa tunaishi. Pale nyumbani tulikuwa na duka kubwa hivyo siku hiyo jamaa walipanga kuja kuvunja na kuiba....