Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Huyo balozi wazo la kufwira alilitoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haujajibu swali la msingi. Walitakiwa kumfanya nini?Ni kweli nao ni wenye dhambi kama wengine kwa maana hakuna mahali matendo yaobyaliidhinishwa na mamlaka ya Mungu... Yesu alikataza Ktk Mathayo :7:1-5, na kama demonstration ya aliyoamuru aliwauliza wale wayahudi waliotaka kumpigia yule mwanamke msamaria alieshtakiwa kwa uzinifu, akawaambia kabla ya kumpigia mawe huyu kwa tuhuma, basi yeyote ambae Hana dhambi awe wa kwanza kunyanyua Jiwe... Nini kilitokea... Waliepa... Sasa ukiwa uliza waliomuua mwizi Je wao hapo dukani hawakua wanaibia wateja kwa vipimo au chenji? [emoji16] [emoji16]
hicho ndio kitu ambacho huwa naepuka maisha yangu yote. damu ya mtu ni nzito hata kama ina hatia. asikudanganye mtu. ukitaka kujua hili uliza wanajeshi walioenda vitani, kama huwa wanarudi na akili yao ile ile. lazima nati moja inafyatuka kwa mbali itajikaza baadaye kwasababu ya damu za watu.Vipi kuhusu kuua, alikushaurije?
that would be justifiable. but cha muhimu kuelewa ni kwamba, kuna watu wengi sana wema sasaivi, ambao hawakuwa wema zamani, na wanadamu wote tuna mapungufu mbele za Mungu. do to others what you would like them do to you.
sijakutana na majanga wakati nimekwambia nilishawahi kuibiwa duka loote chomba kikabaki kikavu kabisa. au unamaanisha nini?Muelewe jamaa, hujakutana tu na majanga ama zako ama zao.
Hivi unamjua Mungu wa Israel, alivyokatili? Au Biblia unaisoma ukiwa hujitambui. Unajua unyama alioufanya Mungu wa Yesu Kristo Kwa watu ambao hawakumkosea lolote.Nakupa hongera na kaka yako kwa ujasiri ila ukweli ni kama una mwamini Mungu wa Yesu Kristo na bado hujatubu kwa kitendo cha kumpigia hadi Kufa kwa mwizi, nakusihi utubu maana sisi tumeamriwa kutokuhukumu, sasa nyie mmejifanya majaji na kuhudumu kwa sheria yenu... Sio ya Mungu wala Jamhuri ya Muungano.. Kimsingi hamna haki ya kufanya mlilifanya... Iliwapasa mumpeleke polisi sio kumtaabisha... Nakushauri tu maana usipotubu hiyo laana lazima ikurudie wewe au kikazi chako...
you have common sense indeed.. congratulationssio kwamba siwajui, nilishawahi kuibiwa duka zima. lakini bado naamini second chance. mtumbaya anaweza kubadilika kuwa mzuri kuliko hata wewe kama akikutana na Yesu Kristo moyoni.