Tulimpa mwizi mateso haya, kila siku ile picha inanijia akilini

Mimi huwa naibiwa,ila nimuoga wa kuua.Mimi si msafi,nakumbuka kuna maovu mengi huwa nayafanya na nimewahi kufanya.All in all,tusiue jamani pale pasipobidi.
 
Bado haujajibu swali la msingi. Walitakiwa kumfanya nini?
 
Nafsi yako inakusuta ndio mana unataka kujiaminisha kwamba kilichomuua ni kutokwenda na si nyie… NYIE NDIO MLIMUUA take it, live it
 
Vipi kuhusu kuua, alikushaurije?
hicho ndio kitu ambacho huwa naepuka maisha yangu yote. damu ya mtu ni nzito hata kama ina hatia. asikudanganye mtu. ukitaka kujua hili uliza wanajeshi walioenda vitani, kama huwa wanarudi na akili yao ile ile. lazima nati moja inafyatuka kwa mbali itajikaza baadaye kwasababu ya damu za watu.
 
that would be justifiable. but cha muhimu kuelewa ni kwamba, kuna watu wengi sana wema sasaivi, ambao hawakuwa wema zamani, na wanadamu wote tuna mapungufu mbele za Mungu. do to others what you would like them do to you.

Muelewe jamaa, hujakutana tu na majanga ama zako ama zao.
 
Balozi anashauri jamaa aliwe shimo asee hii mbayaa
 
Hivi unamjua Mungu wa Israel, alivyokatili? Au Biblia unaisoma ukiwa hujitambui. Unajua unyama alioufanya Mungu wa Yesu Kristo Kwa watu ambao hawakumkosea lolote.

Sembuse mwizi anaeibia watu. Kaisome vizuri Biblia utajua kuwa mwizi anastahili adhabu Gani?
 
sio kwamba siwajui, nilishawahi kuibiwa duka zima. lakini bado naamini second chance. mtumbaya anaweza kubadilika kuwa mzuri kuliko hata wewe kama akikutana na Yesu Kristo moyoni.
you have common sense indeed.. congratulations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…