Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Swali mujarabuMsaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Magufuli hakusingiziwa,alihusika. Kwa yanayoendelea sasa Samia anahusika. Tusiwe wabaguzi .Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Rubbish!Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Wapuuzi nyie, Magufuli ndie muasisi wa Siasa za kutekana na kuuwana.RIP Shujaa Magufuli 🌹
Kwa hiyo mtekaji ni nani sasa? Manake polisi hawahusiki, TISS hawahusiki, JW security unit hawahusiki. Mkuu wa nchi ambaye ndiyo sauti ya mwisho nchi hii naye anasema hii kitu ni drama. Kama ni vyama vya upinzani mbona hawakamatwi? Shida Iko wapi?Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Jiwe aliunda kikundi cha watu wahalifu waliobatizwa jina la "wasiojulikana". Baada ya kifo chake tu wakapotea.Kosa la mzee wetu hayati lilikuwa sio kuteka, bali kukaa kimya na watu waka-assume yy ndio anayetoa order. Isemwe tu kama kuna kikosi rogue kimetengenezwa tujue moja