Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Dahh! Siooo poaaa lo hali ni hatarishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahh! Siooo poaaa lo hali ni hatarishi
Samia kawarudisha srikalini wahuni wa jiwe, ndiyo wanaomdanganya kutumia mbinu za Mungu wao jiwe kusalia madarakani.Kwa hiyo Magufuli kafufuka
Ni swala la CCM kuanzia Nyerere...ila wanaomsema Mbowe wasibezwe maana sio malaikaNani alisingiziwa wakati ni ukweli mtupu? Ni kweli kipindi cha utawala wa Magufuli watu walitekwa na kuuwawa. Wakati mama ameingia madarakani visa vya kutekwa na kuua vikapotea. Baada ya muda vikaanza tena taratibu kuibuka na kwa sasa vimeshika kasi kubwa kwa style ile ile ya Magufuli.
Nini maana yake? Kwenye suala la kutekwa na kuuwawa, utawala wa Magufuli na mama hauna tofauti yoyote, tawala zote zimehusika.
Hitimisho, kwenye utekaji na kuua, chura kiziwi na jiwe ni kitu kimoja, huwezi kuwatenganisha.
Comments reservedMsaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Wewe utakuwa mtoto wa 2000Huwezi kufananisha hizo Awamu mbili.
Wewe jamaa una akili sanaaa...huo mstari wa mwisho nimeuelewa sanaWalimchafua Magufuli ili watimize malengo na walifanikiwa kwakua uelewa wa watu wengi sio mkubwa.
Anyways Yanga Bingwa tena.
Ninaweza kukuzaa.Wewe utakuwa mtoto wa 2000
Kwanini walionyanyua vinywa vyao kupaza sauti kumtuhumu Magufuli hawafanyi hivyo Leo kwa Samia?Magufuli hakusingiziwa,alihusika. Kwa yanayoendelea sasa Samia anahusika. Tusiwe wabaguzi .
Mleta hoja anasema Magu hayupo kwasasaJiwe aliunda kikundi cha watu wahalifu waliobatizwa jina la "wasiojulikana". Baada ya kifo chake tu wakapotea.
Jiwe alikuwa mshenzi sana
Weka evidenceJiwe aliunda kikundi cha watu wahalifu waliobatizwa jina la "wasiojulikana". Baada ya kifo chake tu wakapotea.
Jiwe alikuwa mshenzi sana
Samia alikiri kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimojaMsaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana