Tulimsingizia na kumhukumu Hayati Magufuli juu ya utekaji, Je leo tutamsingizia nani? Magufuli hayupo

Tulimsingizia na kumhukumu Hayati Magufuli juu ya utekaji, Je leo tutamsingizia nani? Magufuli hayupo

Hayati Magufuli aliumia na akatoa pole lakini bado Chadema walipita huku na kule kusema Magufuli anahusika na kupigwa risasi Tundu Lissu
 

Attachments

  • IMG-20240908-WA0531.jpg
    IMG-20240908-WA0531.jpg
    168.2 KB · Views: 2
Nani alisingiziwa wakati ni ukweli mtupu? Ni kweli kipindi cha utawala wa Magufuli watu walitekwa na kuuwawa. Wakati mama ameingia madarakani visa vya kutekwa na kuua vikapotea. Baada ya muda vikaanza tena taratibu kuibuka na kwa sasa vimeshika kasi kubwa kwa style ile ile ya Magufuli.
Nini maana yake? Kwenye suala la kutekwa na kuuwawa, utawala wa Magufuli na mama hauna tofauti yoyote, tawala zote zimehusika.
Hitimisho, kwenye utekaji na kuua, chura kiziwi na jiwe ni kitu kimoja, huwezi kuwatenganisha.
Ni swala la CCM kuanzia Nyerere...ila wanaomsema Mbowe wasibezwe maana sio malaika
 
Mheshimiwa Magufuli amesingiziwa kwa mengi sana kwa kweli...tulidhani hii serikali ni ya malaika kumbe ni mashetani asee?
 
Huenda ikawa makamu wa kipindi chake ndiyo alikuwa inaisuka mipango hiyo miovu.maana Hadi Sasa inaendelea na aliyesingiziwa alishafariki.
 
Back
Top Bottom