Tulimtahadharisha Mwendazake akiwa hai hatukusikia yeye na wafuasi wake, hivyo leo wavumilie anaposemwa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Tuliandika humu tukabezwa, kukejeliwa na kupuuzwa, ila leo yanatimia kwa watu kueleze aliyoyafanya na yaliyofanywa chini ya utawala wake.

Ukizui watu kusema ukiwa hai, watakusema ukishakufa.

Binadamu kamwe hawezi kosa la kukufanya hata kwa kukusema tu inatosha kunfanya aondoe dukuduku lake kama sio hasira na machungu.

Mnavuna mlichopanda.

Tuliwaaambia na tulimwambia maneno haya:

Kwa upumbavu wenu mtaendelea kupambana na JPM Huku CCM inaendelea kupeta tu , mtashtuka chadema imekufa

USSR
 
Binadamu hana jema kabisa nikikumbuka kauli za Mama tour kipindi Cha Kayafa na baada ya Kayafa naweza SEMA unafiki ni jambo baya sana.
 
Kwa upumbavu wenu mtaendelea kupambana na JPM Huku CCM inaendelea kupeta tu , mtashtuka chadema imekufa

USSR
Katiba mpya ndio hukumu ya kifo cha CCM. Na bila ya katiba mpya 2025 no Election na ikilazimishwa yale ya Kenya 2007 yatajitokeza maana wapinzani wa kweli wamesema liwake jua inyeshe mvua katiba lazima
 
Hahaaa, mr #dishlimetilt alijaribu kuwaingiza mtaani kuandamana 2020 mkachicken na yeye akasepa, hiyo 2025 ujasiri mtaupata wapi? Au umeanza kupiga jaramba kwa kuwa kamanda Mroto amestaafu?!
 
Back
Top Bottom