njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Sikuwa shabiki wa yule mzee, kachangia pakubwa sana kuua demokrasia, keleta hali ya unafiki kwenye mahakama, bunge ndo kabisa aliligeuza kituko hadi kuna wabunge waliapishwa gereji wakitokea jela usiku uliopita.
Lakini one thing unaweza kumsifu ni connection yake na street na maisha ya mtu wa kawaida, wakati anapinga lockdown nakumbuka kauli yake kwamba nawekaje lockdown kwa mtu ambaye anatoka asubuhi kwenda kuhangaikia unga na mboga na nyanya za kula siku hiyo?
Inawezekana kwa sasa hakuna lugha za kukera kama alizokuwa anatoa ila kwa sasa kuna utawala ambao NI OUT OF TOUCH KABISAAA, yaani nafikiri hata wakiambiwa mtu buku kwa siku anakosa wanashangaa watasema mfumue tumbo labda kaficha kwenye utumbo atupe tozo yetu.
Yaani ukisikia yale ya Maria antoinnete wa ufaransa "WANAANDAMANA NINI? KAMA HAWANA MKATE SI WALE KEKI?" ndiyo haya ya awamu ya sita, kadiri watu wanavyolalamika ndivyo watawala wanavyoshangaa hawa wajinga wanalalamika nini?