Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐ephen ndiye mke wa marehemu?
๐๐๐ephen ndiye mke wa marehemu?
SafiiKuna mshikaji hapa kitaa alijinyoga kisa mke wake kamuaga anaenda kwao kumbe ana ka msela tu. Ndg zake wakasema hatusafirishi maiti tunazika hapahapa. Walikuwa hawana hata mtoto mke akaweka pingamizi lkn wapii. Akazikwa na mke hakukaa hapo akasepa saivi mama mzazi na jamaa yupo
Ulishaona ikulu inauzwa,hapo ni home makazi ya kudumu ta wanafamiliaUnamzika baba, ili mama asiuze nyumba watoto warithi, halafu watoto unawaambia watafute vyao?
Sasa kwa nini huyo baba asingeiuza kabisa yeye kabla hajafa na kuwaambia hao watoto watafute vyao?
Hizo ni tabia za kijima.Ulishaona ikulu inauzwa,hapo ni home makazi ya kudumu ta wanafamilia
Wanapunguza kwa zaidi ya 50% .Watu hawajui kuwa wanapunguza thamani ya nyumba sana kwa kufanya hivyo.
Ni yule mangi wa TBS alizikwa kwa Mapinga auPamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia.
Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na utulivu zero kabisa,hata kifo cha jamaa kilikuwa cha utata sana kuna watu walidai mke alihusika.
Kamati ya wazee ikaja na azimio kuwa marehemu azikwe pembeni kabisa bampa to bamba na nyumba yake ili huyu shemeji yetu asiweze kuiuza watoto wa marehemu wakakosa address
Nani atanunuua nyumba kaburi Limeegemea ukuta wa nyumba kaburi liko bamba to bamba na mlango wa uani na msalaba mkubwa
Hata zaidi. Ushafanya nyumba iwe kaburini.Wanapunguza kwa zaidi ya 50% .
Kwani nani kasema kila nyumba inauzwa?Sio kila nyumba inauzwa,babu yako angeuza ile ya kijijini ingekuwaje
Kweli ni wamatukioNasawazisha makaburi kwa bei poa 076854461. Pia Derivery mikoani ipo
Kama katokea kwl kaskazn mkuu kabur linahamishika kabsaa maana Arusha niliwai kushuhudia kabur la familia likiamishwa kwanza la babu bb sjui nan kama nne lakn cha ajabu muuska akutoboa mwaka nae kafark kwa pgo za ajabuPamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia.
Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na utulivu zero kabisa,hata kifo cha jamaa kilikuwa cha utata sana kuna watu walidai mke alihusika.
Kamati ya wazee ikaja na azimio kuwa marehemu azikwe pembeni kabisa bampa to bamba na nyumba yake ili huyu shemeji yetu asiweze kuiuza watoto wa marehemu wakakosa address
Nani atanunuua nyumba kaburi Limeegemea ukuta wa nyumba kaburi liko bamba to bamba na mlango wa uani na msalaba mkubwa
Dadeq; nyie mtakuwa mmesomea cuba si bure.Pamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia.
Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na utulivu zero kabisa,hata kifo cha jamaa kilikuwa cha utata sana kuna watu walidai mke alihusika.
Kamati ya wazee ikaja na azimio kuwa marehemu azikwe pembeni kabisa bampa to bamba na nyumba yake ili huyu shemeji yetu asiweze kuiuza watoto wa marehemu wakakosa address
Nani atanunuua nyumba kaburi Limeegemea ukuta wa nyumba kaburi liko bamba to bamba na mlango wa uani na msalaba mkubwa
๐คฃ๐คฃ, mke mdogo wa marehemuephen ndiye mke wa marehemu?