THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa na zaidi ya miaka 30.Alikuwa mdogo tu,below 30yrs!
Kwa Ile Nyumba tu kuwa nayo kwa umri wake ni hatua kubwa.
Hiyo ya kwamba hajajenga kwao ilikuwa janja janja tu ya kuzuia hiyo Mali isipotee.
Achana na mizimu kwanza..Kisheria Kuna ishu?Mizimu mkuu, hutokaa hapo kwa amani full kutokewa na marehemu na misauti ya ajabu
Siwezi kukupinga.Mimi nilisikia kama stori tu.Sijui chanzo chako Cha taarifa.Alikuwa na zaidi ya miaka 30.
Poa kakaInakuwaje jamaa?
Nikianza leo itanichukua mda gani kua kama wewe bwana kiranga napenda sana unavyojibu kwa hojaKwani nani kasema kila nyumba inauzwa?
Hapa umefanya logical fallacies kadhaa.
1. Strawman argument fallacy. Umeleta hoja ya "sio kila nyumba inauzwa" wakati mimi sikusema kila nyumba inauzwa.
2. Appeal to emotion. Umeleta habari za babu yangu kuniingiza kwenye majibizano ya kihisia badala ya facts. Fact ninkwamba hunijui, babu yangu humjui. Hujui kama alijuwa na nyumba, hujui kama imeuzwa au la.
3. Umefanya hasty generalization fallacy. Unataka kulazimisha kila nyumba isiuzwe.
4. Umefanya argument from tradition fallacy. Hata kama ni kweli tuna utamaduni nyumba zote za familia haziuzwi, hilo halina maana hakutakuwa na sababu nzuri ya kuuza nyumba.
5. Non sequitur fallacy. Kwa sababu huko nyuma nyumba hazijauzwa, hilo halimaanishi ni lazima huko mbele nyumba zisiuzwe.
Kwa sasa niishie hapa tu.
La msingi kila jambo lifanyike kwa faida hata kama mwenye mali kesha kufa,haina haja kuuza mali za Marehemu kwa hasara kisa warithi mmeshindwa kuelewana kuziendeleza!!Kwani nani kasema kila nyumba inauzwa?
Hapa umefanya logical fallacies kadhaa.
1. Strawman argument fallacy. Umeleta hoja ya "sio kila nyumba inauzwa" wakati mimi sikusema kila nyumba inauzwa.
2. Appeal to emotion. Umeleta habari za babu yangu kuniingiza kwenye majibizano ya kihisia badala ya facts. Fact ninkwamba hunijui, babu yangu humjui. Hujui kama alijuwa na nyumba, hujui kama imeuzwa au la.
3. Umefanya hasty generalization fallacy. Unataka kulazimisha kila nyumba isiuzwe.
4. Umefanya argument from tradition fallacy. Hata kama ni kweli tuna utamaduni nyumba zote za familia haziuzwi, hilo halina maana hakutakuwa na sababu nzuri ya kuuza nyumba.
5. Non sequitur fallacy. Kwa sababu huko nyuma nyumba hazijauzwa, hilo halimaanishi ni lazima huko mbele nyumba zisiuzwe.
Kwa sasa niishie hapa tu.
Hili sakata nililiona kwa ITV na kwa Gea Habibi kwenye kipindi chake cha hekaheka pale clouds!! Ila sijajua nani alishinda!!Kuna Moja ilitokea mapinga,Bagamoyo.Na wao watu wa kaskazini hukohuko,ndugu wa mume wanataka kuzika hapo hapo nyumbani mapinga,sababu zao Binti bado mdogo na watoto bado wadogo,hawajui mbeleni nini kitatokea.
Ndugu wa Mke wakakataa,hoja yao ni tangu lini Mchagga akazikwa Dar na wazazi wake wote wapo wazima hapo Kilimanjaro!
Pia Mke alisisitiza kuwa hata baadae wakihitaji Kujenga Nyumba za kupangisha itakuwa ngumu kupata wapangaji,nani anataka kupanga Nyumba Ina kaburi la mtu asiyemfahamu!
Inawezekana pia kuuza mali kwa faida hata kama warithi wameelewana.La msingi kila jambo lifanyike kwa faida hata kama mwenye mali kesha kufa,haina haja kuuza mali za Marehemu kwa hasara kisa warithi mmeshindwa kuelewana kuziendeleza!!
Unajua nini?kuuza nyumba ya mjini sio shida,shida kuuza nyumba ya kijijini ambayo ndio inakutanisha wanafamilia ni kukosa address,mfano nyumba ya babu yangu kijijini japo sio ya gharama haiiziki,pembeni kuna makaburi sita,baba ,shangazi na wajukuu wamezaliwa na kukulia pale.Inawezekana pia kuuza mali kwa faida hata kama warithi wameelewana.
Kwa nini watu wanakariri kwamba kuuza nyumba ni kitu kibaya tu?
Kuna jamaa alipiga bonge la deal, akajenga bonge la jumba Mbezi beach.
Baadaye akaja kugundua kwamba sehemu kubwa ya pesa ambazo angezitumia kufanya biashara ameziweka katika kujenga nyumba, ambayo haitumii kibiashara. Nyumba haikuwa inaingiza faida kibiashara.
Akaiuza ile nyumba aongeze hela kwenye mtaji wake ili aweze kuizungusha ile hela, yeye akahamia nyumba ndogo zaidi. Na biashara zikaenda vizuri tu kwa sababu kuuza nyumba kuli boost sana mtaji wake.
Tanzania kuna watu kibao wanalalamika majumba yao ni makubwa sana kuliko mahitaji yao. Watu wamejenga mahekalu huko Mbezi Beach na Mbweni, halafu hakuna mtu anayekaa. Nikiwauliza kwa nini hamyauzi mnunue pengine nyumba ndogo zaidi, watu wanaona kuuza nyumba ni kama kukata mkono vile.
Sasa, kwa nini mnakariri kwamba kuuza nyumba ni kitu kibaya kinachofanywa watu wakifarakana tu?