Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,748 Reaction score 10,288 Jan 9, 2026 #1 Hiyo ndio maana inayotamkwa hadharani kuwa tukae kimya kama mapimbi huku familia za mafisadi wachache wa CCM wakifaidi mali za umma kihuni. Hapo kunakuwa na umuhimu wa amani?
Hiyo ndio maana inayotamkwa hadharani kuwa tukae kimya kama mapimbi huku familia za mafisadi wachache wa CCM wakifaidi mali za umma kihuni. Hapo kunakuwa na umuhimu wa amani?
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,860 Reaction score 12,071 Jan 9, 2026 #2 Mburulula kabisa hao!
MD SPECIAL JF-Expert Member Joined Jul 4, 2025 Posts 1,161 Reaction score 2,812 Jan 9, 2026 #3 Nchi ngumu sana hii.