Tulio kutana na 2pac shakuru Cuba Tukutane

Tulio kutana na 2pac shakuru Cuba Tukutane

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Naomba wale wote tuliowahi kukutana na 2pac shakuru Cuba Tukutane hapa tujadiri mawili matatu

Naomba tukutane hapa wakuuu mm ni rafki yake chid benz
 
Dah so happy 2pac mfuasi wa iman za makaveli ameamua kurud tena na kupitia chichichichid bennnnnnnnnnz anadhihirisha hili mara nyingi nikiwa ndotoni hasa zile ndoto za ulaya ulaya na maeneo ya visiwa vya carebean huwa naonana nae mr 2pac
alijua kuna mpango wa cia kumuua akaamua kujificha ili kupisha vuguvugu
Welcome bac mr 2pac
Aliwezaje kurud josevart ashindwe kurud tupac

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanzia ile juzi nilianza kuwa shabik wa Chidi benzi. Maana tulienda nae sabibo kucheki jama. Ila wanampango wakugombea uraisi.
Ndo kwanza navuta bangi[emoji263][emoji263][emoji263][emoji263][emoji263][emoji263]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom