Dah so happy 2pac mfuasi wa iman za makaveli ameamua kurud tena na kupitia chichichichid bennnnnnnnnnz anadhihirisha hili mara nyingi nikiwa ndotoni hasa zile ndoto za ulaya ulaya na maeneo ya visiwa vya carebean huwa naonana nae mr 2pac
alijua kuna mpango wa cia kumuua akaamua kujificha ili kupisha vuguvugu
Welcome bac mr 2pac
Aliwezaje kurud josevart ashindwe kurud tupac
Kwanzia ile juzi nilianza kuwa shabik wa Chidi benzi. Maana tulienda nae sabibo kucheki jama. Ila wanampango wakugombea uraisi.
Ndo kwanza navuta bangi[emoji263][emoji263][emoji263][emoji263][emoji263][emoji263]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.